Loading...

MAHOJIANO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT.ABBAS NA KITUO CHA REDIO JIJINI ARUSHA

Loading...
MAHOJIANO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT.ABBAS NA KITUO CHA REDIO JIJINI ARUSHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHOJIANO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT.ABBAS NA KITUO CHA REDIO JIJINI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHOJIANO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT.ABBAS NA KITUO CHA REDIO JIJINI ARUSHA
link : MAHOJIANO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT.ABBAS NA KITUO CHA REDIO JIJINI ARUSHA

soma pia


MAHOJIANO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT.ABBAS NA KITUO CHA REDIO JIJINI ARUSHA

Na. Vero Ignarus, Arusha

Msenaji wa Serikali Dkt Abbas amesema serikaki inaendelea na ukarabati na ujenzi wa Zahanati na Vituo vya afya kwa nchi nzima kwani Mpango wa serikali ni kuhakikisha kila Wilaya ina hospitali

Amesema upatikanaji wa dawa umeongezeka kwa rikali kuongeza bajeti ya madawa kutoka bill.31 hadi bil. 280,ambapo Serikali inanunua madawa moja kwa moja kutoka viwandani na sio kwa madalali tena. Tiba za kibingwa zimeimarishwa sana katika nchi yetu hasa magonjwa ya Moyo,kupandikiza figo na matatizo yakutosikia hii imepelekea kupungua kwa idadi ya wagonjwa wakutibiwa nje ya nchi.

Kwa upande wa sejta ya Elimu Dkt Abbas anesema Serikali inatoa fedha kiasi cha bil.29 kila mwezi kuwezesha elimu bure katika nchi yetu.Dkt.Abbas.Amesisitiza kuwa Migomo ya elimu ya juu imeshaisha katika awamu hii ya tano kwani fedha zinapelekwa kwenye vyuo kwa wakati ambapo kwa mwaka huu kiasi cha bil 137 kimeshapelekwa kwenye vyuo mbalimbali nchini.

Amesema kuwa kwenye sekta ya Kilimo Serikali imeanzisha mamlaka ya udhibiti wa masoko kwa bidhaa za Tanzania, hii itawasaidia wakulima, wafanyabiashara kupata masoko yenye uhakika.June mwaka huu Serikali lizindua mpango mpya wa kilimo cha kisasa cha umwagiliaji ili kumuwezesha mkulima kutotegemea mvua.


Dr. Hassan Abbas mkurugenzi wa idara ya habari maelezo Tanzania.



Hivyo makala MAHOJIANO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT.ABBAS NA KITUO CHA REDIO JIJINI ARUSHA

yaani makala yote MAHOJIANO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT.ABBAS NA KITUO CHA REDIO JIJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHOJIANO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT.ABBAS NA KITUO CHA REDIO JIJINI ARUSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mahojiano-ya-msemaji-mkuu-wa-serikali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHOJIANO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT.ABBAS NA KITUO CHA REDIO JIJINI ARUSHA"

Post a Comment

Loading...