Loading...

BODI YA MIKOPO HESLB YATANGAZA NJIA MPYA KWA WADAIWA

Loading...
BODI YA MIKOPO HESLB YATANGAZA NJIA MPYA KWA WADAIWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODI YA MIKOPO HESLB YATANGAZA NJIA MPYA KWA WADAIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODI YA MIKOPO HESLB YATANGAZA NJIA MPYA KWA WADAIWA
link : BODI YA MIKOPO HESLB YATANGAZA NJIA MPYA KWA WADAIWA

soma pia


BODI YA MIKOPO HESLB YATANGAZA NJIA MPYA KWA WADAIWA










Mkurugenzi wa bodi ya mikopo nchini, Abdulrazack Badru .

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imekuja na mfumo mpya wa kielektoniki wa ulipaji madeni ya waliyokuwa wanufaika wa mikopo, ambapo mfumo huo utajulikana kwa jina la 'Goverment Electronic Payment Getway' (GEGP).

Akitangaza mfumo huo, Mkurugenzi wa bodi ya mikopo nchini, Abdulrazack Badru amesema mfumo utarahisisha uwazi wa kwenye ukusanyaji wa fedha hizo, utamfanya mdaiwa kulipa mahali popote alipo pamoja na kutoa fursa ya kuongezeka kwa mapato ya bodi hiyo.

"Tumekamilisha utaratibu mfumo wa serikali wa kukusanya mapato (GEPG), mwajiri na wanufaika watatakiwa kujiunga kwenye mfumo huu mpya wa GEPG ili kulipa madeni wanayodaiwa na serikali," amesema Badru.

Aidha amesema, "waajiri ambao watashindwa kulipa madeni ya wafanyakazi ambao walikuwa ni wanufaika, tutawaanzishia operesheni maalumu ya kupitia maofisini kwao ili kuwabaini wasiolipa mikopo ya bodi".

Akifafanua mfumo huo mpya mtaalamu wa GEPG, Baziri Bajunia amesema, "mfumo huu umekuwa ukitumika sasa hivi na taasisi nyingi ambazo zinafanya malipo kwa taasisi za serikali, ni utaratibu ambao hata taasisi nyingine za kifedha wanautumia"


Hivyo makala BODI YA MIKOPO HESLB YATANGAZA NJIA MPYA KWA WADAIWA

yaani makala yote BODI YA MIKOPO HESLB YATANGAZA NJIA MPYA KWA WADAIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA MIKOPO HESLB YATANGAZA NJIA MPYA KWA WADAIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/bodi-ya-mikopo-heslb-yatangaza-njia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BODI YA MIKOPO HESLB YATANGAZA NJIA MPYA KWA WADAIWA"

Post a Comment

Loading...