Loading...

Maafisa watano wa TFDA kizimbani kwa tuhuma za kuisababishia Mamlaka hiyo hasara ya sh. milioni 58

Loading...
Maafisa watano wa TFDA kizimbani kwa tuhuma za kuisababishia Mamlaka hiyo hasara ya sh. milioni 58 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maafisa watano wa TFDA kizimbani kwa tuhuma za kuisababishia Mamlaka hiyo hasara ya sh. milioni 58, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maafisa watano wa TFDA kizimbani kwa tuhuma za kuisababishia Mamlaka hiyo hasara ya sh. milioni 58
link : Maafisa watano wa TFDA kizimbani kwa tuhuma za kuisababishia Mamlaka hiyo hasara ya sh. milioni 58

soma pia


Maafisa watano wa TFDA kizimbani kwa tuhuma za kuisababishia Mamlaka hiyo hasara ya sh. milioni 58

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii. 
MAAFISA watano wa mamlaka  ya Chakula na dawa (TFDA) wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kuisabishia Mamlaka hiyo hasara  ya Sh. milioni 58. Akisoma hati ya mashtaka mbele ya Hakimu  Mkazi Mwandamizi Augustine Rwizile, wakili wa serikali kutoka Takukuru Leornad Swai amewataja washtakiwa hao kuwa ni,  Charys Ugullum Raymond Wigenge,  Ezekiel Mubito, Adelard Mtenga na Abdallah Juma. 

Imedaiwa, kati ya Mei na Desemba 2016  katika ofisi  hizo za TFDA, washtakiwa hao kwa uzembe waliisababishia TFDA kupata hasara ya Sh. 58.390.000 kwa kuidhinisha posho maalamu wa waajiriwa ambao walikuwa wameishalipwa na kuwafanya walipwe mara mbili jambo ambalo ni kosa.

Hata hivyo,  washtakiwa wote wamekana kutenda kosa hilo na wamerudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana. Mahakama imewataka washtakiwa hao kuwa na wadhanini wawili kila mmoja wenye vitambulisho vya Taifa na barua yenye utambulisho . Pia kila mshtakiwa ametakiwa kuweka mahakamani hapo fedha taslimu Sh.milioni tano Au hati ya mali isiyohamishika ya kiwango hicho cha pesa.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Januari 28.2019 kwa ajili ya Washtakiwa kusomewa maelezo ya awali.
 MAAFISA watano wa mamlaka  ya Chakula na dawa (TFDA) wakipelekwa katika chumba cha mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kuisabishia Mamlaka hiyo hasara  ya Sh. milioni 58. Washtakiwa wanadaiwa kutenda kosa hilo kwa ujumbe baada ya kwa uzembe baada ya kuidhinisha posho maalamu wa waajiriwa ambao walikuwa wameishalipwa na kuwafanya walipwe mara mbili jambo ambalo ni kosa.


Hivyo makala Maafisa watano wa TFDA kizimbani kwa tuhuma za kuisababishia Mamlaka hiyo hasara ya sh. milioni 58

yaani makala yote Maafisa watano wa TFDA kizimbani kwa tuhuma za kuisababishia Mamlaka hiyo hasara ya sh. milioni 58 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maafisa watano wa TFDA kizimbani kwa tuhuma za kuisababishia Mamlaka hiyo hasara ya sh. milioni 58 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/maafisa-watano-wa-tfda-kizimbani-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Maafisa watano wa TFDA kizimbani kwa tuhuma za kuisababishia Mamlaka hiyo hasara ya sh. milioni 58"

Post a Comment

Loading...