Loading...
title : Dkt. Mahiga akagua ujenzi wa ofisi ya Wizara Ihumwa, Dodoma
link : Dkt. Mahiga akagua ujenzi wa ofisi ya Wizara Ihumwa, Dodoma
Dkt. Mahiga akagua ujenzi wa ofisi ya Wizara Ihumwa, Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la ofisi ya Wizara Ihumwa Dodoma. Mhe. Waziri alielezwa kuwa ujenzi huo unaenda katika kasi inayoridhisha ambapo wakandarasi wapo mbele ya mpangoa kazi.
Waziri Mahiga na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bw. Hamid Mbegu wakioneshana alama za mipaka ya kiwanja cha Wizara.
Waziri Mahiga akiendelea na ukaguzi wa jengo la ofisi ya Wizara.
Waziri Mahiga akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bw. Hamid Mbegu .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akiweka saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye eneo linalojengwa jengo la ofisi ya Wizara Ihumwa, Dodoma.
Hivyo makala Dkt. Mahiga akagua ujenzi wa ofisi ya Wizara Ihumwa, Dodoma
yaani makala yote Dkt. Mahiga akagua ujenzi wa ofisi ya Wizara Ihumwa, Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Mahiga akagua ujenzi wa ofisi ya Wizara Ihumwa, Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/dkt-mahiga-akagua-ujenzi-wa-ofisi-ya.html
0 Response to "Dkt. Mahiga akagua ujenzi wa ofisi ya Wizara Ihumwa, Dodoma"
Post a Comment