Loading...
title : UJUMBE WA TWITTER WA MWANDISHI ALIYEUWAWA KWA SHAMBULIO LA ALSHABAB KENYA WAACHA SIMANZI
link : UJUMBE WA TWITTER WA MWANDISHI ALIYEUWAWA KWA SHAMBULIO LA ALSHABAB KENYA WAACHA SIMANZI
UJUMBE WA TWITTER WA MWANDISHI ALIYEUWAWA KWA SHAMBULIO LA ALSHABAB KENYA WAACHA SIMANZI
Na Leandra Gabriel, Blogu ya Jamii
Katika shambulio lililotekelezwa na kundi la kigaidi la wanamgambo wa Alshabab hapo jana katika eneo la Riverside mwandishi wa habari aliyekuwa akiandika habari za michezo katika blogu ya Wadau TV na shabiki wa soka nchini humo James Oduor maarufu kama Odu Cobra ameuwawa katika shambulio hilo siku moja kabla ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

Odu alishiriki wakati wake wa mwisho na mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa twitter kwa kuchapisha kile kilichokuwa kinaendelea baada ya kuwa mateka ila Mungu alimpenda zaidi na alifariki kabla ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa leo Januari 16.
Shambulio hilo lilitekelezwa jana na kundi la wanamgambo wa Alshabab majira ya saa tisa alasiri katika eneo la Riverside ambako hoteli ya DusitD2 na ofisi za makampuni mbalimbali zinapatikana.
Chanzo: The StandardMedia
Hivyo makala UJUMBE WA TWITTER WA MWANDISHI ALIYEUWAWA KWA SHAMBULIO LA ALSHABAB KENYA WAACHA SIMANZI
yaani makala yote UJUMBE WA TWITTER WA MWANDISHI ALIYEUWAWA KWA SHAMBULIO LA ALSHABAB KENYA WAACHA SIMANZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE WA TWITTER WA MWANDISHI ALIYEUWAWA KWA SHAMBULIO LA ALSHABAB KENYA WAACHA SIMANZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/ujumbe-wa-twitter-wa-mwandishi.html
0 Response to "UJUMBE WA TWITTER WA MWANDISHI ALIYEUWAWA KWA SHAMBULIO LA ALSHABAB KENYA WAACHA SIMANZI"
Post a Comment