Loading...
title : Dkt.Zainab Chaula aripoti wizara ya afya
link : Dkt.Zainab Chaula aripoti wizara ya afya
Dkt.Zainab Chaula aripoti wizara ya afya
Picha ya pamoja ya Viongozi wa Wizara na baadhi ya watumishi waliopo ofisi ndogo ya wizara hiyo
Waziri wa Afya,Maendekeo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimsikiliza Katibu Mkuu mpua wa Wizara yake Dkt.Zainab Chaula(picha na Wizara ya Afya).
Dkt.Zainab Chaula akitoa salamu baada ya kukaribishwa Ofisi ndogo za Wizara hiyo,kushoto ni aliyekua Katibu Mkuu Dkt.Mpoki Ulisubisya
Naibu Waziri Dkt.Faustine Ndugulile akitoa neno la ukaribisho wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto-Idara Kuu Afya (hayupo pichani)
Aliyekua Katibu Mkuu-Idara Kuu Afya Dkt.Mpoki Ulisubisya akimkabidhi baadhi ya vitendea kazi Katibu Mkuu Mpya Dkt.Zainab Chaula kwenye ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara jihini Dar es Salaam
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimkaribisha Katibu Mkuu Mpya wa Idara Kuu Afya Dkt.Zainab Chaula kwenye ofisi ndogo za wizara zilizopo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa
Hivyo makala Dkt.Zainab Chaula aripoti wizara ya afya
yaani makala yote Dkt.Zainab Chaula aripoti wizara ya afya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dkt.Zainab Chaula aripoti wizara ya afya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/dktzainab-chaula-aripoti-wizara-ya-afya.html
0 Response to "Dkt.Zainab Chaula aripoti wizara ya afya"
Post a Comment