Loading...
title : RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK,ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA SERIKALI YA ZANZIBAR
link : RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK,ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA SERIKALI YA ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK,ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA SERIKALI YA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Bw.Said Bakari Jecha katika Hafla ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Utumishi uliotukuka Bi Fatma Mohamed Said katika Hafla ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi waliohudhuria katika Hafla ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi na watunukiwa wa Nishani katika Hafla ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK,ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA SERIKALI YA ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK,ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA SERIKALI YA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK,ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA SERIKALI YA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_46.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK,ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA SERIKALI YA ZANZIBAR"
Post a Comment