Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA SUNIL MITTAL MWENYEKITI WA BHARTI AIRTEL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
link : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA SUNIL MITTAL MWENYEKITI WA BHARTI AIRTEL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA SUNIL MITTAL MWENYEKITI WA BHARTI AIRTEL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel ( kampuni ya Simu ya Airtel ) mara baada ya kuwasili kwaajili ya mazungumzo , Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 11, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel ( kampuni ya Simu ya Airtel ) Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Paramagamba John Mwaluko pamoja na mwakilishi kutoka kampuni ya Bharti Airtel. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 11, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel aliyeambatana na ujumbe wake kutoka kampuni ya Simu ya Airtel pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Paramagamba John Kabudi, Gavana wa BOT Profesa Luoga, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James, Mtendaji mkuu wa kituo cha Uwekezaji (TIC ) Geoffrey Mwambe pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Mhandisi Omary Nundu. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 11, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma taarifa ya majadiliano kutoka kwa mgeni wake Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel ( kampuni ya Simu ya Airtel ) mara baada ya Mazungumzo yao . Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 11, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel aliyeambatana na ujumbe wake kutoka kampuni ya Simu ya Airtel pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Paramagamba John Kabudi, Gavana wa BOT Profesa Luoga, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James, Mtendaji mkuu wa kituo cha Uwekezaji (TIC) Geoffrey Mwambe pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Mhandisi Omary Nundu, Mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 11, 2019.
Mwenyekiti wa Bharti Airtel (kampuni ya Simu ya Airtel) Bw. Sunil Mittal akizungumza na Wana habari (hawapo pichani) kuhusu mazungumzo yao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 11, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wana habari (hawapo pichani) kuhusu mazungumzo yao na Mwenyekiti wa Bharti Airtel (kampuni ya Simu ya Airtel) Bw. Sunil Mittal, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 11, 2019.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA SUNIL MITTAL MWENYEKITI WA BHARTI AIRTEL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA SUNIL MITTAL MWENYEKITI WA BHARTI AIRTEL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA SUNIL MITTAL MWENYEKITI WA BHARTI AIRTEL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-magufuli-akutana-na-sunil.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA SUNIL MITTAL MWENYEKITI WA BHARTI AIRTEL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment