Loading...
title : KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA YA BODI YA MIKOPO
link : KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA YA BODI YA MIKOPO
KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA YA BODI YA MIKOPO
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Ndg. Abdul Razaq Badru akiwasilisha Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha nusu mwaka 2018/2019 mbele ya Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.
Mjumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Hawa Ghasia akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha nusu mwaka 2018/2019 katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Selukamba akifafanua jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha nusu mwaka 2018/2019 katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.
Hivyo makala KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA YA BODI YA MIKOPO
yaani makala yote KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA YA BODI YA MIKOPO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA YA BODI YA MIKOPO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/kamati-ya-huduma-na-maendeleo-ya-jamii.html
0 Response to "KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA YA BODI YA MIKOPO"
Post a Comment