Loading...

WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA LA WANAWAKE JIJINI DODOMA

Loading...
WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA LA WANAWAKE JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA LA WANAWAKE JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA LA WANAWAKE JIJINI DODOMA
link : WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA LA WANAWAKE JIJINI DODOMA

soma pia


WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA LA WANAWAKE JIJINI DODOMA

 Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Wajumbe kutoka Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) na ugeni kutoka Shirika la Umoja wa kimataifa la wanawake ulioongozwa na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa kimataifa la wanawake Kanda ya Afrika Mashariki na Kati yenye makazi yake Nairobi, Dkt. Izeduwa Derex Briggs kikao kilichofanyika leo tarehe 25 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta akiongoza kikao cha pamoja cha Wajumbe kutoka Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) na ugeni kutoka Shirika la Umoja wa kimataifa la wanawake  (UN Women) kilichofanyika leo tarehe 25 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa kimataifa la wanawake Kanda ya Afrika Mashariki na Kati yenye makazi yake Nairobi, Dkt. Izeduwa Derex Briggs akizungumza na Wajumbe kutoka Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (hawapo kwenye picha) kikao kilichofanyika leo tarehe 25 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam.
 Wajumbe kutoka Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) wakiwa katika kikao cha pamoja na ugeni kutoka Shirika la Umoja wa kimataifa la wanawake (UN Women) kilicholenga kufahamiana, kubadilishana uzoefu na kujua shughuli mbali mbali zinazofanywa na Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) kikao kilichofanyika leo tarehe 25 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kulia mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe kutoka Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) na ugeni kutoka Shirika la Umoja wa kimataifa la wanawake ulioongozwa na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa kimataifa la wanawake Kanda ya Afrika Mashariki na Kati yenye makazi yake Nairobi, Dkt. Izeduwa Derex Briggs (wanne kulia mbele) kikao kilichofanyika leo tarehe 25 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia mbele ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta na Mjumbe Mhe. Salma Kikwete (wa pili kulia mbele)

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA LA WANAWAKE JIJINI DODOMA

yaani makala yote WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA LA WANAWAKE JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA LA WANAWAKE JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/wajumbe-umoja-wa-wabunge-wanawake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA LA WANAWAKE JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...