Loading...
title : IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA
link : IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA
IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA
Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP) Simon Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza na Kinondoni.
RPC mkoa wa Kinondoni, ACP Muliro Jumanne Muliro amekwenda kuwa RPC Mwanza huku ACP Jonathan Shana amehamishiwa makao makuu ya polisi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Februari 5,2019 kwa vyombo vya habari na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Ahmed Msangi ilieleza kuwa nafasi ya Kamanda wa kinondoni imechukuliwa na Mussa Taibu.
Hivyo makala IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA
yaani makala yote IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/igp-afanya-mabadiliko-ya-makamanda-wa.html
0 Response to "IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA"
Post a Comment