Loading...

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aongoza Kikao Cha Kamati ya Pamoja ya MST na SMZ Kujadili Masuala ya Muungano.

Loading...
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aongoza Kikao Cha Kamati ya Pamoja ya MST na SMZ Kujadili Masuala ya Muungano. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aongoza Kikao Cha Kamati ya Pamoja ya MST na SMZ Kujadili Masuala ya Muungano., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aongoza Kikao Cha Kamati ya Pamoja ya MST na SMZ Kujadili Masuala ya Muungano.
link : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aongoza Kikao Cha Kamati ya Pamoja ya MST na SMZ Kujadili Masuala ya Muungano.

soma pia


Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aongoza Kikao Cha Kamati ya Pamoja ya MST na SMZ Kujadili Masuala ya Muungano.

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea hati ya umiliki wa ardhi  yenye ukubwa wa hekari 30 kwenye mji wa Serikali Dodoma kwa ajili ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)  kujadili masuala ya Muungano. Kikao hicho kimefanyika leo Februari 9, 2019 katika ukumbi wa Kambarage, jengo la Hazina Square, Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ali Iddi (kushoto) akionesha Hati ya umiliki wa Ardhi  yenye ukubwa wa hekari 30 kwenye mji wa Serikali Dodoma kwa ajili ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)  kujadili masuala ya Muungano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ali Iddi (kushoto) hati ya umiliki wa ardhi  yenye ukubwa wa hekari 30 kwenye mji wa Serikali Dodoma kwa ajili ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)  kujadili masuala ya Muungano. Kikao hicho kimefanyika leo Februari 9, 2019 katika ukumbi wa Kambarage, jengo la Hazina Square, Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (katikati) wakati wa Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)  kujadili masuala ya Muungano, kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi. Kikao hicho kimefanyika leo Februari 9, 2019 katika ukumbi wa Kambarage, jengo la Hazina Square,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akihutubia wakati wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)  kujadili masuala ya Muungano. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)  kujadili masuala ya Muungano.
Kikao hicho kimefanyika Februari 9, 2019 katika ukumbi wa Kambarage, jengo la Hazina Square, Dodoma.

Sehemu ya Mawaziri kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) wakifuatilia kwa makini Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)  kujadili masuala ya Muungano. Kikao hicho kimefanyika leo Februari 9, 2019 katika ukumbi wa Kambarage, jengo la Hazina Square, Dodoma



Hivyo makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aongoza Kikao Cha Kamati ya Pamoja ya MST na SMZ Kujadili Masuala ya Muungano.

yaani makala yote Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aongoza Kikao Cha Kamati ya Pamoja ya MST na SMZ Kujadili Masuala ya Muungano. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aongoza Kikao Cha Kamati ya Pamoja ya MST na SMZ Kujadili Masuala ya Muungano. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/makamu-wa-rais-wa-jamuhuri-ya-muungano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aongoza Kikao Cha Kamati ya Pamoja ya MST na SMZ Kujadili Masuala ya Muungano."

Post a Comment

Loading...