Loading...
title : PPRA Yapongezwa Uanzishaji wa Mfumo wa Manunuzi wa Kielekroniki
link : PPRA Yapongezwa Uanzishaji wa Mfumo wa Manunuzi wa Kielekroniki
PPRA Yapongezwa Uanzishaji wa Mfumo wa Manunuzi wa Kielekroniki
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpango(hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) jijini Dodoma.
Mwakilishi wa Bodi ya Udhamini ya Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Nimrod Mahozi wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) jijini Dodoma.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Mhandisi Leornard Kapongo akitoa neno la shukrani wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Manunuzi wa Umma (PPRA) jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu(wapili kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) jijini Dodoma.Kutoka kulia ni Mwakilishi wa Bodi ya Udhamini ya Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Nimrod Mahozi, Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leornard Kapongo, Katibu wa Baraza la PPRA, Martine Sapanjo na Katibu Msaidizi wa Baraza hilo Bi. Maria Mng’ong’o.
Baadhi ya Menejimenti na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la PPRA wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu akionyesha vitendea kazi vya Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) mara baada ya kuzindua rasmi baraza hilo jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Mwakilishi wa Bodi ya Udhamini ya PPRA, Nimrod Mahozi, Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Mhandisi Leornard Kapongo, Katibu wa Baraza la PPRA, Martine Sapanjo na Katibu Msaidizi wa Baraza hilo, Bi.Maria Mng’ong’o.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Mhandisi Leornard Kapongo akiwakabidhi vitendea kazi Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa PPRA, Martine Sapanjo na Katibu Msaidizi wa Baraza hilo, Bi.Maria Mng’ong’o wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Manunuzi wa Umma (PPRA) jijini Dodoma.
Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Martine Sapanjo(wapili kushoto) na Katibu Msaidizi wa Baraza hilo, Bi.Maria Mng’ong’o wakionyesha dhana zao za kazi mara baada ya kukabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leornard Kapongo (katikati) wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) jijini Dodoma.Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu(wapili kulia) na Mwakilishi wa Bodi ya PPRA, Nimrod Mahozi.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa PPRA wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) jijini Dodoma. (Picha na Frank Shija – MAELEZO)
Hivyo makala PPRA Yapongezwa Uanzishaji wa Mfumo wa Manunuzi wa Kielekroniki
yaani makala yote PPRA Yapongezwa Uanzishaji wa Mfumo wa Manunuzi wa Kielekroniki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PPRA Yapongezwa Uanzishaji wa Mfumo wa Manunuzi wa Kielekroniki mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/ppra-yapongezwa-uanzishaji-wa-mfumo-wa.html
0 Response to "PPRA Yapongezwa Uanzishaji wa Mfumo wa Manunuzi wa Kielekroniki"
Post a Comment