Loading...

TIMAYA ATAJA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ALI KIBA KWENYE ALBAM YA CHULO VIBES

Loading...
TIMAYA ATAJA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ALI KIBA KWENYE ALBAM YA CHULO VIBES - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIMAYA ATAJA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ALI KIBA KWENYE ALBAM YA CHULO VIBES, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIMAYA ATAJA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ALI KIBA KWENYE ALBAM YA CHULO VIBES
link : TIMAYA ATAJA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ALI KIBA KWENYE ALBAM YA CHULO VIBES

soma pia


TIMAYA ATAJA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ALI KIBA KWENYE ALBAM YA CHULO VIBES


Na Khadija Seif,Globu ya jamii
MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria  Enitimi Alfred a.k.a Timaya ameamua kufungua kwa kuweka wazi sababu za kumshirikisha mkali wa Bongofleva nchini Tanzania Alikiba kwenye album yake mpya.

Timaya ambaye amejijengea umaarufu kutokana na staili yake ya uimbaji, amesema kuwa ndoto yake ya muda mrefu ilikuwa ni kuhakikisha siku moja anafanya kazi na Alikiba kwani pamoja na uwezo wake mkubwa pia ni shabiki wake amekuwa akimfatilia kwa muda mrefu sana.

"Nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye kazi iliyokutanisha wasanii wa nchi mbalimbali kama amani wa Kenya,R.kelly,Navio na wengine wengi lengo ni kuleta karibu mataifa hayo mawili Afrika na Amerika pamoja na kudumisha amani,furaha na upendo ," amesema Timaya

.Hata hivyo amefafanua katika album yake mpya iitwayo Chulo vibes amemshirikisha Alikiba pamoja na Msanii Burnaboy kutoka Nigeria ambaye kwa sasa anafanya vizuri na kwamba Burnaboy ni msanii anayedumisha utamaduni wa kiafrika kwa ujumla na ni mfano mzuri wa kuigwa kutokana na nyimbo zake kama YE,On the low na Gbona zenye mahadhi na midundo ya kiafrika zaidi na hata video zake zinahamasisha utamaduni wa kiafrika kuanzia mavazi na washiriki wa video hizo.

"Matarajio yangu ni kufanya ngoma na wasanii wa Afrika mashariki kwa nchi za Kenya,uganda na Burundi maana wasanii wa nchi hizo nao wanafanya vizuri," amesema Timaya.Ameongeza kuwa anataka kufanya kazi na wasanii ambao hajawahi kufanya nao kazi na ndio maana ndani ya albamu hiyo mpya ameshirikisha wasanii tofauti kabisa na anafurahia kuona muitikio umekua mzuri,hivyo basi anategemea kufika mbali zaidi kimuziki na ndio maana ndani ya albamu hiyo mpya ameshirikisha wasanii tofauti kabisa ambao hakuwahi kufanya kazi nao.



Hivyo makala TIMAYA ATAJA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ALI KIBA KWENYE ALBAM YA CHULO VIBES

yaani makala yote TIMAYA ATAJA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ALI KIBA KWENYE ALBAM YA CHULO VIBES Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIMAYA ATAJA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ALI KIBA KWENYE ALBAM YA CHULO VIBES mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/timaya-ataja-sababu-za-kumshirikisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TIMAYA ATAJA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ALI KIBA KWENYE ALBAM YA CHULO VIBES"

Post a Comment

Loading...