Loading...
title : Uturuki kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa watanzania
link : Uturuki kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa watanzania
Uturuki kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa watanzania

Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Medicana , Bursa ya nchini Uturuki Prof. Serdar Ener akisoma taarifa ya mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji wa moyo na kulazwa katika chumba cha wagonjwa waliopo katika uangalizi maalum (ICU) alipotembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) leo kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo wanazotoa na kuona namna wanavyoweza kufanya kazi kwa pamoja ya kutoa matibabu ya moyo kwa watanzania.
Afisa Muuguzi bingwa kutoa Connecticut Children’s Medical Center nchini Marekani ambaye yupo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kujitolea kuwafundisha wauguzi jinsi ya kuwahudumia wagonjwa waliolazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) Mollie Mullaney akiongea jambo na Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Medicana , Bursa ya nchini Uturuki Prof. Serdar Ener. Prof. Ener alitembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo wanazozitoa ikiwa ni pamoja na kuangalia miondombinu iliyopo.

Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Medicana , Bursa ya nchini Uturuki Prof. Serdar Ener akiangalia jinsi madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wanavyofanya upasuaji alipotembelea Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo wanazozifanya na kuona namna wanavyoweza kufanya kazi kwa pamoja ya kutoa matibabu ya moyo kwa watanzania.

Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Medicana , Bursa ya nchini Uturuki Prof. Serdar Ener akiangalia jinsi madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wanavyofanya upasuaji alipotembelea Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo wanazozifanya na kuona namna wanavyoweza kufanya kazi kwa pamoja ya kutoa matibabu ya moyo kwa watanzania.

Afisa Muuguzi wa chumba cha upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Faustina Mwapinga akimweleza jinsi wanavyoandaa vifaa vya upasuaji Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Medicana , Bursa ya nchini Uturuki Prof. Serdar Ener alipotembelea Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo wnazozitoa ikiwa ni pamoja na kuangalia miondombinu iliyopo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea jambo na Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Medicana , Bursa ya nchini Uturuki Prof. Serdar Ener alipotembelea Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo wanazozitoa na kuona namna wanavyoweza kufanya kazi kwa pamoja ya kutoa matibabu ya moyo kwa watanzania.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Medicana , Bursa ya nchini Uturuki Prof. Serdar Ener pamoja na wageni wengine kutoka nchini humo mara baada ya kumalizika kwa ziara yake ya kutembelea Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo wanazozifanya na kuangalia miundombinu iliyopo. Picha na JKCI
Hivyo makala Uturuki kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa watanzania
yaani makala yote Uturuki kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa watanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uturuki kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa watanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/uturuki-kushirikiana-na-taasisi-ya-moyo.html
0 Response to "Uturuki kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa watanzania"
Post a Comment