Loading...
title : ZIARA YA MAKAMU WA RAIS NZEGA NA UYUI MKOANI TABORA
link : ZIARA YA MAKAMU WA RAIS NZEGA NA UYUI MKOANI TABORA
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS NZEGA NA UYUI MKOANI TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa mkono wa pole JR Hamisi Kigwangalla kufuatia kifo cha mdogo wake Zul, kulia ni Baba wa Marehemu Zul, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt Hamisi Kigwangalla muda mfupi kabla ya mazishi yaliofanyika Puge wilayani Nzega mkoa wa Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa mkono wa pole Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt Hamisi Kigwangalla kufuatia kifo cha mtoto wake mdogo wa kiume Zul muda mfupi kabla ya mazishi Puge wilayani Nzega mkoa wa Tabora.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini Mhe. Hussein Bashe mara baada ya kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa kiwanda cha kuchakata gesi, kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri (kulia)Makamu wa Rais yupo kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Mwita Waitara, Mbunge wa Igalula Mhe. Mussa Ntimizi (kulia) na Mkuu Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri, Mkuu wa Wilaya ya Uyui Bi. Gift Msuya (kushoto) mara baada ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Afya Igalula, wilayani Uyui mkoa wa Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Hivyo makala ZIARA YA MAKAMU WA RAIS NZEGA NA UYUI MKOANI TABORA
yaani makala yote ZIARA YA MAKAMU WA RAIS NZEGA NA UYUI MKOANI TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA MAKAMU WA RAIS NZEGA NA UYUI MKOANI TABORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/ziara-ya-makamu-wa-rais-nzega-na-uyui.html
0 Response to "ZIARA YA MAKAMU WA RAIS NZEGA NA UYUI MKOANI TABORA"
Post a Comment