Loading...
title : WAZIR MKUU KASSIM MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO
link : WAZIR MKUU KASSIM MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO
WAZIR MKUU KASSIM MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Biharamulo, Sada Malunde (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Wende Ng’ahara (wa tatu kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Agnes Rwakayonza (kushoto) katika kikao cha ndani cha kuwafunda viongozi hao kilichofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Februari 21, 2019. Akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyakanazi wilayani Biharamulo, Februari 20, 2019, Mheshimiwa Majaliwa aliwaonya viongozi hao kumaliza tofauti zao ili kuwahudumia wananchi ipasavyo. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Berigedia Jenearli, Marco Gaguti (wa pili kulia) na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Profesa Faustine Kamuzora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIR MKUU KASSIM MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO
yaani makala yote WAZIR MKUU KASSIM MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIR MKUU KASSIM MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/wazir-mkuu-kassim-majaliwa-awafunda.html
0 Response to "WAZIR MKUU KASSIM MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO"
Post a Comment