Loading...

Balozi Seif ahudhuria maonesho ya kilimo Cuba.

Loading...
Balozi Seif ahudhuria maonesho ya kilimo Cuba. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Seif ahudhuria maonesho ya kilimo Cuba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Seif ahudhuria maonesho ya kilimo Cuba.
link : Balozi Seif ahudhuria maonesho ya kilimo Cuba.

soma pia


Balozi Seif ahudhuria maonesho ya kilimo Cuba.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, na Naibu Waziri wa Kilimo, Maliasili, Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Dkt. Makame Ali Ussi, wakikaribishwa na Naibu Waziri wa Kilimo wa Cuba Mhe. Jose Miguel Rodriquez De Armas, kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 22 ya Kilimo yaliyofanyika jijini Havana, Cuba. Mhe. Balozi Seif Ali Iddi alialikwa kama mgeni rasmi kwenye maonyesho hayo yaliyofanyika mnamo tarehe18 Machi, 2019. Maonesho hayo yalihudhuriwa na wananchi zaidi ya 3000. 
Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, akitizama kikundi cha wakulima waliokuwa wameandaliwa kutoa burudani kwenye maonyesho hayo. 
Burudani zikiendelea kutolewa na vikundi mbalimbali vya wakulima. 
Naibu Waziri wa Kilimo wa Cuba Mhe. Jose Miguel Rodriquez De Armas, akihutubia kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo. 
Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, akitembelea na kujionea mazao mbalimbali yanayolimwa nchini Cuba kwenye mabanda ya makampuni mbalimbali ya wafanyabiashara na yawakulima. 


Hivyo makala Balozi Seif ahudhuria maonesho ya kilimo Cuba.

yaani makala yote Balozi Seif ahudhuria maonesho ya kilimo Cuba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif ahudhuria maonesho ya kilimo Cuba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/balozi-seif-ahudhuria-maonesho-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Balozi Seif ahudhuria maonesho ya kilimo Cuba."

Post a Comment

Loading...