Loading...

JK AWAKA WATENDAJI CHUO CHA UDSM-MCHAS KUSIMAMIA NIDHAMU NA UBORA WA ELIMU ILI KIWE BORA BARANI AFRIKA

Loading...
JK AWAKA WATENDAJI CHUO CHA UDSM-MCHAS KUSIMAMIA NIDHAMU NA UBORA WA ELIMU ILI KIWE BORA BARANI AFRIKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JK AWAKA WATENDAJI CHUO CHA UDSM-MCHAS KUSIMAMIA NIDHAMU NA UBORA WA ELIMU ILI KIWE BORA BARANI AFRIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JK AWAKA WATENDAJI CHUO CHA UDSM-MCHAS KUSIMAMIA NIDHAMU NA UBORA WA ELIMU ILI KIWE BORA BARANI AFRIKA
link : JK AWAKA WATENDAJI CHUO CHA UDSM-MCHAS KUSIMAMIA NIDHAMU NA UBORA WA ELIMU ILI KIWE BORA BARANI AFRIKA

soma pia


JK AWAKA WATENDAJI CHUO CHA UDSM-MCHAS KUSIMAMIA NIDHAMU NA UBORA WA ELIMU ILI KIWE BORA BARANI AFRIKA

Na  Emmanuel Madafa.

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Rais Mstaafu  awamu ya nne, Dk.Jakaya Mrisho Kikwete, amewataka watendaji wa chuo hicho kusimamia nidhamu na ubora wa elimu ili kiwe chuo cha mfano Barani Afrika.

Rais, Kikwete aliyasema hayo jana wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wa chama na serikali, baada ya kutembelea na kukagua eneo la ardhi lililotengwa na serikali ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya ujenzi wa chuo hicho Ndaki ya Afya na Sayansi Shiriki (MCHAS).

Amesema, shabaha yao nikuongeza nguvu ya wataalamu nchini, hivyo watendaji wanawajibu wa kusimamia kiwango cha elimu kinachotolewa hakishuki na kamwe hatapenda kuona watu wa bora liende wakikiendesha  chuo hicho.

“Sipendi kuona sifa hii ya elimu bora ikishukia Mbeya,  sipendi kuwaona watu wanaosema bora liende tu, madaktari ni watu muhimu sana kwani wanashindana na uhai wa mtu usiondoke, hivyo sitaki kuona mchezo ukifanyika,”alisema.

Aidha, akijibu agizo hilo Naibu Makamu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Bonaventure Rutinwa, amesema kamwe hatakubali mtumishi au mwanafunzi yoyote kuharibu sifa ya chuo  chuo hicho ambacho kimebahatika kutoa viongozi wakubwa watano wa  Afrika.

“Chuo hiki kimewatoa viongozi wakubwa akiwemo Rais Magufuri, Rais wa Uganda Yower Kaguta Museven, Rais wa sasa wa Malawi, Bingu wa Mutarika, Rais Mstaafu wa Tazania awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Rais wa awamu ya tatu Tanzania, Benjamin Mkapa na Rais wa zamani wa Sudan Kusini Dr. John Mabior,”alisema.
Rais mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha (UDSM ) akizungumza kwa msisitizo na uongozi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam  Ndaki ya Afya na Sayansi shiriki (UDSM -MCHAS) katika ziara yake ya kutembelea na kukagua eneo kitakapo jengwa Chuo katika eneo la Tanganyika Pekers nje kidogo ya Jiji la Mbeya .
 Rais mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha (UDSM ) akiwa na Shangazi yake Marehemu Efraemu Kibonde Elinelia Kibonde baada ya kumkuta akiwa katika foleni ya kusubiri Matibabu katika dirisha la dawa la Bima ya Afya katika Hospital  ya rufaa ya Kanda Mbeya .Picha na Emanuel Madafa Mbeya.
 Rais mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha (UDSM ) akiwa na wanafunzi wa udaktari kitengo  afya ya meno Chuo kikuu cha Dar es Salaam  Ndaki ya Afya na Sayansi shiriki (UDSM -MCHAS) katika ziara yake ya kutembelea na kukagua eneo kitakapo jengwa Chuo katika eneo la Tanganyika Pekers nje kidogo ya Jiji la Mbeya .

 Rais mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha (UDSM ) katikati walioketi akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam  Ndaki ya Afya na Sayansi shiriki (UDSM -MCHAS) mara baada ya kuzungumza nao .
 ais mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha (UDSM ) aliyeweka mkono mfukoni akiwa na uongozi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam  Ndaki ya Afya na Sayansi shiriki (UDSM -MCHAS) wakiwa eneo la  chuo katika ziara yake ya kutembelea na kukagua eneo kitakapo jengwa Chuo katika eneo la Tanganyika Pekers nje kidogo ya Jiji la Mbeya nyuma yake ni Mwenyekiti wa baraza la hicho Jaji Mstaafu Damian Luguva.


Hivyo makala JK AWAKA WATENDAJI CHUO CHA UDSM-MCHAS KUSIMAMIA NIDHAMU NA UBORA WA ELIMU ILI KIWE BORA BARANI AFRIKA

yaani makala yote JK AWAKA WATENDAJI CHUO CHA UDSM-MCHAS KUSIMAMIA NIDHAMU NA UBORA WA ELIMU ILI KIWE BORA BARANI AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JK AWAKA WATENDAJI CHUO CHA UDSM-MCHAS KUSIMAMIA NIDHAMU NA UBORA WA ELIMU ILI KIWE BORA BARANI AFRIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/jk-awaka-watendaji-chuo-cha-udsm-mchas.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JK AWAKA WATENDAJI CHUO CHA UDSM-MCHAS KUSIMAMIA NIDHAMU NA UBORA WA ELIMU ILI KIWE BORA BARANI AFRIKA"

Post a Comment

Loading...