Loading...

TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA VYA MAKURUNGE KITALU "N" BAGAMOYO MJINI

Loading...
TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA VYA MAKURUNGE KITALU "N" BAGAMOYO MJINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA VYA MAKURUNGE KITALU "N" BAGAMOYO MJINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA VYA MAKURUNGE KITALU "N" BAGAMOYO MJINI
link : TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA VYA MAKURUNGE KITALU "N" BAGAMOYO MJINI

soma pia


TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA VYA MAKURUNGE KITALU "N" BAGAMOYO MJINI

VIWANJA VYA MATUMIZI MBALIMABALI VINAUZWA ENEO LA MAKURUNGE BAGAMOYO MJINI. VIWANJA  HIVYO VIPO UMBALI WA KILOMITA 3.5 KUTOKA BARABARA KUU YA MSATA-BAGAMOYO INAYOTUMIWA NA MAGARI YAENDAYO MIKOA YA KASKAZINI KUTOKA DAR ES SALAAM. 
VIWANJA VIKO MITA 500 KUTOKA BARABARA YA KUELEKEA PANGANI NA TANGA INAYOENDELEA KUJENGWA  KWA KIWANGO CHA LAMI NA KUWEKEWA MIUNDOMBINU YA MAJI NA UMEME.  
VIWANJA VIPO MPAKANI  MWA ENEO LA RAZABA AMBALO SEHEMU YAKE INA SHAMBA LA MIWA LA  BAKHARESA NA KIWANDA CHA SUKARI KINAENDELEA KUJENGWA KM 7 KITOKA MAHALI VIWANJA VIPO. EENEO LINALOPAKANA NA VIWANJA HIVI LIMEPIMWA NA VIWANJA VIMEUZWA VIMEISHA. HUDUMA ZOTE ZA JAMII ZIMETENGEWA MAENEO .
VIWANJA HIVI VINAUZWA KWA GHARAMA ZA MITA ZA MRABA YA SH. 3900 KWA VIWANJA VYA MAKAZI NA T.SHS 4500 KWA VIWANJA VYA BIASHARA  NA SHUGHULI ZINGINE ZA KIUCHUMI IKIJUMUISHA NA HOUSING ESTATES . VIWANJA HIVI VINA UKUBWA WA KATI YA MITA ZA MRABA WA 450 HADI 11000. 
BAADHI YA VIWANJA VINA HATI TAYARI NA VINGINE MNUNUZI ATATENGENEZEWA HATI NA HALMASHAURI KATIKA MKATABA  WA MANUNUZI UTAKAOFANYWA MBELE YA HALMASHAURI.  MALIPO YA KIWANJA YANAWEZA KUFANYWA KWA AWAMU NDANI YA MIEZI SITA. 

 KWA MAHITAJI NA KUCHAGUA KIWANJA PIGA SIMU 
NAMBA 0765851517 AU 0653461126 
AU FIKA OFISI YA AFISA ARDHI MTEULE BAGAMOYO


 Ramani ya site na 
inayoonyesha viwanja




Hivyo makala TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA VYA MAKURUNGE KITALU "N" BAGAMOYO MJINI

yaani makala yote TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA VYA MAKURUNGE KITALU "N" BAGAMOYO MJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA VYA MAKURUNGE KITALU "N" BAGAMOYO MJINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/tangazo-la-uuzwaji-wa-viwanja-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA VYA MAKURUNGE KITALU "N" BAGAMOYO MJINI"

Post a Comment

Loading...