Loading...

VIONGOZI WA PSSSF NA NSSF WATEMBELEA AZANIA BENKI

Loading...
VIONGOZI WA PSSSF NA NSSF WATEMBELEA AZANIA BENKI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI WA PSSSF NA NSSF WATEMBELEA AZANIA BENKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIONGOZI WA PSSSF NA NSSF WATEMBELEA AZANIA BENKI
link : VIONGOZI WA PSSSF NA NSSF WATEMBELEA AZANIA BENKI

soma pia


VIONGOZI WA PSSSF NA NSSF WATEMBELEA AZANIA BENKI

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Azania, Charles Itembe, amekutana na wenye hisa wakubwa wa benki hiyo, ambao ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSSSF, Hosea Kashimba na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii NSSF  William Erio.

PSSSF inamiliki asilimia 62 ya Benki ya Azania, wakati NSSF inamiliki asilimia 35, hivyo kwa ujumla wake mashirika hayo yanamiliki benki hiyo kwa asilimia 97, ambao ndio wamiliki wakubwa wa Benki hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari, makao makuu ya benki ya Azania, yaliyopo katika jengo la Mawasiliano, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam,  Itembe, alisema wanahisa hao walifanya ziara Azania ili kupata kufahamu mchakato unaoendelea wa kuchukua mali na madeni ya bank M.

Bwana Itembe aliwapatia maelezo kuhusu hatua zilizofanyika na matarajio ya baadae kwa wenye hisa hao kwani wamefanya uwekezaji mkubwa.

Mkurugenzi huyo alisema ni vizuri kwa wenye hisa hao kufahamu namna Benki ya Azania itakavyofanyakazi baada ya kuchukua Bank M.

Ikumbukwe Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliamua kuhamisha kwa mujibu wa sheria mali na madeni ya Benki M kwenda Azania Benki Ltd.

Hivyo, kwa sasa BoT na Azania wanaendelea kuandaa taratibu za kisheria za kuhamisha mali na madeni kwenda Azania.

BoT ilikubali Benki M ichukuliwe na Azania kwa ajili ya kuiendesha, ambapo kwa sasa mchakato huo upo hatua za mwisho ili benki hiyo iwe ya Azania moja kwa moja.
Pichani kati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Azania, Charles Itembe, akifafanua jambo mara baada ya kukutana na wenye hisa wakubwa wa benki hiyo, ambao ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSSSF, Hosea Kashimba (kulia)  na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii NSSF  William Erio (kushoto).


Hivyo makala VIONGOZI WA PSSSF NA NSSF WATEMBELEA AZANIA BENKI

yaani makala yote VIONGOZI WA PSSSF NA NSSF WATEMBELEA AZANIA BENKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI WA PSSSF NA NSSF WATEMBELEA AZANIA BENKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/viongozi-wa-psssf-na-nssf-watembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VIONGOZI WA PSSSF NA NSSF WATEMBELEA AZANIA BENKI"

Post a Comment

Loading...