Loading...

Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume

Loading...
Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume
link : Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume

soma pia


Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume

 GARI aina ya Isuzu ikibeba fusi linalotolewa katika mto wa maji chumvi unaofufuliwa katika eneo la Mkamandume, ili kuweza kurudisha hadhi ya mtu huo kama ulivyokuwa ukifanya kazi katika miaka ya 700 iliyopita, kazi hiyo ya urudishaji asili ya mkamandume inafanywa na Kampuni ya Shamjo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 Excavator kutoka kampuni ya Shamjo inayorudisha asili ya eneo la Makamandume, ikiwa inachimba mto wenye urefu wa kwenda chini mita tatu, ili maji chumvi yaweze kuingia katika eneo hilo kama ilivyokuwa katika kipindi cha utawala wa Mkamandume mwenye,kazi hiyo ya urudishaji asili ya mkamandume inafanywa na Kampuni ya Shamjo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo, akipata maeleo kutoka kwa injia wa ujenzi wa kampuni ya Shamjo Said Malik Said, juu ya kukirudisha upya wa asili kisima cha Wivu kilichomo katika eneo la kihistoria la Mkamandume, kazi hiyo ya urudishaji asili ya mkamandume inafanywa na Kampuni ya Shamjo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo, akipata maeleo kutoka kwa injia wa ujenzi wa kampuni ya Shamjo Said Malik Said, juu ya kukirudisha upya wa asili kisima cha Wivu kilichomo katika eneo la kihistoria la Mkamandume, kazi hiyo ya urudishaji asili ya mkamandume inafanywa na Kampuni ya Shamjo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo, akisisitiza jambo wakati alipokwenda kukagua kazi ya ufukuaji wa mto wa asili wa kupitisha maji chumvi katika eneo la Mkamandume Wilaya ya Chake Chake, kazi hiyo ya urudishaji asili ya mkamandume inafanywa na Kampuni ya Shamjo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume

yaani makala yote Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/waziri-mahmoud-akagua-kazi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume"

Post a Comment

Loading...