Loading...

NAIBU WAZIRI UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA

Loading...
NAIBU WAZIRI UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA
link : NAIBU WAZIRI UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA

soma pia


NAIBU WAZIRI UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA

 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle akimkaribisha Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa kushoto alipowasili kufungua kikao cha baraza la wafanyakazi wa wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la wafanyakazi wa wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi alikua Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano  Elias Kwandikwa kushoto.
 Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa akisoma hotuba wakati akifungua kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano  Elias Kwandikwa (wa tatu kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle (wa nne kulia) wakiimba wimbo maalumu wa wafanyakazi wa Mshikamano daima pamoja na viongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakati wa kikao cha Baraza la wafanyakazi wa wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya mameneja wa mikoa wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa kikao cha Baraza la wafanyakazi wa wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambacho kilihudhuriwa na Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa.
Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) mara baada ya kumaliza kikao cha Baraza la wafanyakazi wa wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA ALFRED MGWENO (TEMESA)



Hivyo makala NAIBU WAZIRI UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/naibu-waziri-ujenzi-afungua-baraza-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA"

Post a Comment

Loading...