Loading...

SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUENZI MAZURI YOTE YALIOFANYWA NA HAYATI EDWARD SOKOINE

Loading...
SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUENZI MAZURI YOTE YALIOFANYWA NA HAYATI EDWARD SOKOINE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUENZI MAZURI YOTE YALIOFANYWA NA HAYATI EDWARD SOKOINE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUENZI MAZURI YOTE YALIOFANYWA NA HAYATI EDWARD SOKOINE
link : SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUENZI MAZURI YOTE YALIOFANYWA NA HAYATI EDWARD SOKOINE

soma pia


SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUENZI MAZURI YOTE YALIOFANYWA NA HAYATI EDWARD SOKOINE

Na Woinde Shizza Globu ya jamii

Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amesema kuwa serikali itaendelea kutambua mchango wa Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine, kwani alikuwa mfano katika kupambana na vitendo vya rushwa pamoja na kukemea ufisadi.

Majaliwa ameyasema hayo  leo katika Uwanja wa Shekhe Amri Abeid wakati wa mbio za madhimisho za kumbukumbu ya kifo cha hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine.

Alisema serikali itaendelea kumuenzi hayati Sokoine kwa kuchapa kazi kuwa
bidii kwani mbio hizo ni sehemu ya uimarishaji wa afya ikiwemo kudumisha
amani na upendo.Alipongeza mafanikio makubwa ya kimichezo nchini pamoja na kuipongeza timu ya vijana wenye umri wa miaka 17 na kusisitiza kuwa hii ni historia kwa nchi ya Tanzania.

"Hii ni historia na Tanzania inawezekana kwani ushindi Tanzania unawezakanavna ni zamu yetu "Pia alipongeza Bondia Hassan Mwakinyo kwa kazi nzuri anayofanya ikiwemo kuitikia heri timu ya Simba.Naye Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza alisema serikali itaendelea kushirikiana na Chama cha Riadha Tanzania katika kuhakikisha vipaji vingi vinaibuliwa ikiwemo Tanzania kung'aa zaidi katika michezo mbalimbali.

Awali mtoto wa hayati Sokoine, Namelock Sokoine alishukuru serikali kwa
kuleta maendeleo ikiwemo katika sekta ya afya, miundombinu na nk na
kusisitiza kuwa hayati baba yake, Edward Moringe Sokoine alipokuwa hai
aliweza kutoa asilimia 50 ya mshahara wake kwaajili ya watu maskini.

Hivyo washiriki wa mbio hizo wamelipia fedha zao na wamechangia maskini
ambao hawana uwezo.Awali Rais wa Chama Cha Riadha Tanzania, Anthony Mtaka alisema michezo hiyo ni hamasa na ni kumbukumbu ya kifo cha hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine

Alisema mwaka huu timu ya riadha itakwenda kushiriki mashindano ya riadha Nchini Qatar na nchini Tokyo Japani na kusisitiza wadhamini mbalimbali kujitokeza kwaajili ya kudhamini mchezo huo wa riadha na aliwashukuru wadhamini wa Dstv pamoja na Mamlaka ya Hifadhi(NCAA) kwakuwezesha kudhamini mashindano hayo.

"Tunapata hamasa tunapoona vipaji vipya vinaibuliwa kwani michezo ni ajira hivyo ninaomba wadhamini wengi zaidi kujitokeza " Pia alitoa rai kwa watu wanaoanzisha mashindano hayo ya riadha kila Mkoa na Wilaya wahakikishe wanafuata taratibu na sheria za ikiwemo kusajili mbio hizo, zawadi pamoja na kupewa masharti ya mbio za riadha.

Washindi wa mbio hizo walipewa medali fedha katika mashindano hayo ya
kilomita 21 ni Felix Simbu aliyeshika nafasi ya pili, mshindi wa kwanza ambapo amepokia kitita cha shilingi milioni moja Joseph Panga na Faraja Lazaro kwa upande wa wanaume akiondoka na shilingi laki nane.

Huku upande wa wanawake kilomita 21 wakiwa ni Failuna Matanga, mshindi wa pili Magdalena Shani na mshindi wa tatu Natalia Sule huku watoto wanawake kilomita tano Glory Patrick, Sharon Boniface na wanaume ni Said Barae, Omary Ramadhani na Msabaha Idd.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa akiwapa zawadi washindi wa kwanza wa kilometa 21katika mashindano ya mbio za moringe marathon 


Hivyo makala SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUENZI MAZURI YOTE YALIOFANYWA NA HAYATI EDWARD SOKOINE

yaani makala yote SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUENZI MAZURI YOTE YALIOFANYWA NA HAYATI EDWARD SOKOINE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUENZI MAZURI YOTE YALIOFANYWA NA HAYATI EDWARD SOKOINE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/serikali-yaahidi-kuendelea-kuenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUENZI MAZURI YOTE YALIOFANYWA NA HAYATI EDWARD SOKOINE"

Post a Comment

Loading...