Loading...

KOCHA WA TOTO ATAMBA KUFANYA VYEMA MECHI ZILIZOSALIA LIGI KUU.

Loading...
KOCHA WA TOTO ATAMBA KUFANYA VYEMA MECHI ZILIZOSALIA LIGI KUU. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOCHA WA TOTO ATAMBA KUFANYA VYEMA MECHI ZILIZOSALIA LIGI KUU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOCHA WA TOTO ATAMBA KUFANYA VYEMA MECHI ZILIZOSALIA LIGI KUU.
link : KOCHA WA TOTO ATAMBA KUFANYA VYEMA MECHI ZILIZOSALIA LIGI KUU.

soma pia


KOCHA WA TOTO ATAMBA KUFANYA VYEMA MECHI ZILIZOSALIA LIGI KUU.


SAM_5712
Mfadhili wa timu ya Buselesele FC ,Godfrey Miti akifuatilia Mchezo wa TOTO na Buselesele FC ambapo ilikuwa ni mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye viwanja vya shule ya sekonadari ya Buselesele.

Mashambulizi yakiendelea kwa timu zote mbili.

Mashabiki wakifuatilia mtonange huo.



Benchi la Toto afrikani baadhi ya wachezaji wakicheki mchezo.






Kocha  Mkuu wa timu ya  Toto African ya Jijini Mwanza maarufu
wanakisha mapanda,  Furgence Novatus
amesema  timu hiyo kamwe  haitashuka daraja  kutokana na matumaini makubwa ya ushindi kwa
mechi nne  walizobakiza licha ya kuwa
wako katika mstali wa hatari kushuka ligi.
 
Kocha huyo
ametoa tambo zake mara baada ya kumalizika kwa mechi ya kirafiki kati ya Toto
African na Buselesele FC, mabingwa wapya wa Mkoa wa Geita ligi daraja la tatu,
ambapo Novatus amesema hata Mabingwa wa ligi kuu timu ya Yanga hawatawabakisha
salama wasipojipanga na kwamba hakuna urafiki katika hatua waliopo.
 
Baada ya
mchezo huo ambao timu hizo zilitoshana nguvu, wadau wa soka Mkoani Geita
wamekuwa na matumaini makubwa na timu yao, ambayo iko katika maandalizi ya
kuchuana ligi daraja la pili.
Diwani wa kata ya Buselesele Godfrey Miti ambaye ni mdhamini wa Timu ya Buselesele FC amedai kuwa matumaini makubwa aliyonayo ni kuakikisha timu hiyo inafikia kiwango cha ligi kuu na kwamba yeye pamoja na wadau wa mpira Mkoani Geita hataakikisha timu hiyo inapanda daraja.



Hivyo makala KOCHA WA TOTO ATAMBA KUFANYA VYEMA MECHI ZILIZOSALIA LIGI KUU.

yaani makala yote KOCHA WA TOTO ATAMBA KUFANYA VYEMA MECHI ZILIZOSALIA LIGI KUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOCHA WA TOTO ATAMBA KUFANYA VYEMA MECHI ZILIZOSALIA LIGI KUU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/kocha-wa-toto-atamba-kufanya-vyema.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KOCHA WA TOTO ATAMBA KUFANYA VYEMA MECHI ZILIZOSALIA LIGI KUU."

Post a Comment

Loading...