Loading...

WAZIRI UMMY AMESISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI WAENDELEE NA MASOMO YAO

Loading...
WAZIRI UMMY AMESISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI WAENDELEE NA MASOMO YAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI UMMY AMESISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI WAENDELEE NA MASOMO YAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI UMMY AMESISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI WAENDELEE NA MASOMO YAO
link : WAZIRI UMMY AMESISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI WAENDELEE NA MASOMO YAO

soma pia


WAZIRI UMMY AMESISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI WAENDELEE NA MASOMO YAO

Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto amesisitiza kuwa wanafunzi wa kike wanaopata mimba wakiwa mashuleni waendelee na masomo yao ili kufikia malengo waliyonayo.
Waziri Ummy alitoa kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa masuala ya kijinsia ulioandaliwa na Chuo Kikuu (DUCE) akimwakilisha makamu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. 

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

"Tunapokataza watoto wa kike wasiendelee na masomo pindi wanapopata ujauzito wakiwa mashuleni tunawaadhibu watoto wa masikini washindwe kutimiza malengo yao kwa wakati waliotarajia". Alisema Waziri Ummy.


Aidha waziri Ummy alisema kuwa anaunga mkono uamuzi wa Rais Dkt John Magufuli wa kutoa Elimu bure nchini kwani imeongeza idadi ya watoto wa kike mashuleni tofauti na kipindi cha nyuma.


Pia waziri Ummy ametoa wito kwa wazazi kuwahamasisha watoto wao wa kike kupenda masomo ya sayansi ili kukuza rasilimali watu katika kujenga uchumi unaotokana na viwanda nchini.


Awali, Mkuu wa Chuo cha DUCE Prof. William Anangisye alisema kuwa lengo la mkutano huo ni kuleta chachu ya kuwatia moyo wanafunzi wa kike kupenda masomo ya sayansi ili kupata wanasayansi wanawake nchini.


Source: Gazeti la Majira la Ijumaa 28/04/2017



Hivyo makala WAZIRI UMMY AMESISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI WAENDELEE NA MASOMO YAO

yaani makala yote WAZIRI UMMY AMESISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI WAENDELEE NA MASOMO YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY AMESISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI WAENDELEE NA MASOMO YAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/waziri-ummy-amesisitiza-wanafunzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI UMMY AMESISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI WAENDELEE NA MASOMO YAO"

Post a Comment

Loading...