Loading...
title : Kamati ya Maendeleo Jimbo la Tunguu Yakutana na Naibu Waziri OMPR
link : Kamati ya Maendeleo Jimbo la Tunguu Yakutana na Naibu Waziri OMPR
Kamati ya Maendeleo Jimbo la Tunguu Yakutana na Naibu Waziri OMPR
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe, Mihayo Juma N'hunga (katikati)na Ujumbe wa Kamati ya Maendeleo Jimbo la Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,inayoongozwa na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe, Simai Mohammed Said,(wa pili kushoto) wakiwa katika picha baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini hapo kuhusu mustkabal wa matumizi ya fedha za maendeleo ya Jimbo ambazo zimetengwa kwa kipindi cha mwaka 2016/2017,[Picha kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais].
Hivyo makala Kamati ya Maendeleo Jimbo la Tunguu Yakutana na Naibu Waziri OMPR
yaani makala yote Kamati ya Maendeleo Jimbo la Tunguu Yakutana na Naibu Waziri OMPR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kamati ya Maendeleo Jimbo la Tunguu Yakutana na Naibu Waziri OMPR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kamati-ya-maendeleo-jimbo-la-tunguu.html
0 Response to "Kamati ya Maendeleo Jimbo la Tunguu Yakutana na Naibu Waziri OMPR"
Post a Comment