Loading...
title : Mazungumzo ya Mawaziri Baina ya Tanzania Zanzibar na Djibout.
link : Mazungumzo ya Mawaziri Baina ya Tanzania Zanzibar na Djibout.
Mazungumzo ya Mawaziri Baina ya Tanzania Zanzibar na Djibout.
Waziri wa Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano mhe,Balozi Ali Abeid Karume (kushoto) na Waziri wa Afya mhe mahmoud Thabit Kombo walipokuwakatika kikao cha pamoja na Mawaziri wa Serikali ya Djiboutiambapo walizungumzia zaidi ushirikiano katika nyanja za kiuchumi walipokuwa katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
Mawaziri wa Serikali ya Djibouti wakizungumza na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (hawapo pichani) walipokutana katika kujadili mambo mbali mbali masuala ya ushirikiano wa kiuchumi baina pande mbili hizo ikiwemo Tanzaniz na Djbouti katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakizungumza na Mawaziri wa Serikali ya Djibouti (hawapo pichani) walipokutana katika kujadili mambo mbali mbali masuala ya ushirikiano wa kiuchumi baina pande mbili hizo ikiwemo Tanzaniz na Djbouti katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) [Picha na Ikulu.]
Hivyo makala Mazungumzo ya Mawaziri Baina ya Tanzania Zanzibar na Djibout.
yaani makala yote Mazungumzo ya Mawaziri Baina ya Tanzania Zanzibar na Djibout. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mazungumzo ya Mawaziri Baina ya Tanzania Zanzibar na Djibout. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mazungumzo-ya-mawaziri-baina-ya.html
0 Response to "Mazungumzo ya Mawaziri Baina ya Tanzania Zanzibar na Djibout."
Post a Comment