Loading...

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMEWASISITIZA WAAJIRI SEKTA BINAFSI KUZINGATIA MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MISHAHARA

Loading...
MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMEWASISITIZA WAAJIRI SEKTA BINAFSI KUZINGATIA MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MISHAHARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMEWASISITIZA WAAJIRI SEKTA BINAFSI KUZINGATIA MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MISHAHARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMEWASISITIZA WAAJIRI SEKTA BINAFSI KUZINGATIA MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MISHAHARA
link : MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMEWASISITIZA WAAJIRI SEKTA BINAFSI KUZINGATIA MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MISHAHARA

soma pia


MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMEWASISITIZA WAAJIRI SEKTA BINAFSI KUZINGATIA MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MISHAHARA

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Mashaka Gambo amewaongoza wafanyakazi wa  mkoa wa Arusha katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Mei  Mosi  yaliyofanyika katika uwanja wa Sheik Amri Abeid Jijini Arusha.


Katika sherehe hizo Mheshimiwa Gambo  amewataka waajiri wote wa sekta binafsi kuzingatia kima cha chini cha mshahara kuwa Tsh 350,000/= kama muongozo wa serikali unavyosema, kwani amesikia baadhi ya waajiri bado walipa mshahara wa laki moja mpaka sasa. Mhe. Gambo alisema ni vyema sasa sekta binafsi kuhakikisha kuwa wafanyakazi wake wote wana mikataba halali yao hali na isiyo na ujanja ujanja kwani kuanzia sasa maafisa kazi watapitia kubaini waajiri wote wananyima maslahi na haki za wafanyakazi.


Kuhusu promotion za wafanyakazi wa serikali, Mhe Gambo alisema serikali inalifahamu tatizo hilo lakini waliona kuna changamoto za watumishi hewa na vyeti feki hivyo serikali iliamua kusafisha taarifa zake ili wale wote watakaokuwa ndio watumishi halali basi wapate stahiki zao vizuri na kama wanavyostahili.


Mhe. Gambo alitoa maagizo kwa waajiri na maafisa utumishi kuhakikisha wanatunza vizuri taarifa za watumishi ili wanapokaribia kustaafu walau miezi mitatu kabla ya kustaafu taarifa zake zipo tayari na anapostaafu tu analipwa stahiki zake sio tena kuanza kumsumbua akatafute mafaili sijui wapi. Alitumia nafasi hii kuwakumbusha maafisa utumishi na waajiri wote kuwa swote ni watumishi na wasifanye mambo ambayo baadae yatatumika kuwasumbua na wao wakati wanapokuwa wastaafu.


Mhe. Gambo aliwataka pia wafanyakazi wakafanye kazi kwa bidii na nidhamu katika kuendeleza taifa lao na sio kudai tu maslahi bila kazi. Aidha aliwataka wafanyakazi wakati wa kudai haki zoezi hilo liwe ni la kwa njia za hekima, busara na lifate sheria na utaratibu.


Mwisho Mkuu wa Mkoa alisisitiza jamii ya Arusha kuendelea kulinda amani ya mkoa wetu na nchi kwa ujumla ili kuendelea kuvutia wawekezaji, waje kujenga viwanda tupate ajira nyingi kama A2Z na Sunflag zinavyotoa ajira nyingi kwa vijana wetu. Lakini pia akawasisitiza wafanyabiashara kulipa kodi, na kuwasisitiza wana Arusha kuendelea kudai risiti kwa kila bidhaa wanayonunua ili kukuza uchumi  wa nchi yetu.
Katika Sherehe hizo za meimosi Mkuu wa Mkoa alikabidhi zawadi kwa wafanyakazi bora kutoka kada tofauti katika taasisi zilizopo mkoani Arusha.


Matukio ya Maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi 2017.














Hivyo makala MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMEWASISITIZA WAAJIRI SEKTA BINAFSI KUZINGATIA MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MISHAHARA

yaani makala yote MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMEWASISITIZA WAAJIRI SEKTA BINAFSI KUZINGATIA MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MISHAHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMEWASISITIZA WAAJIRI SEKTA BINAFSI KUZINGATIA MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MISHAHARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mkuu-wa-mkoa-wa-arusha-amewasisitiza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMEWASISITIZA WAAJIRI SEKTA BINAFSI KUZINGATIA MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MISHAHARA"

Post a Comment

Loading...