Loading...
title : WASHIRKI WA UMISETA MKOANNI RUVUMA WAASWA KUDUMISHA NIDHAMU
link : WASHIRKI WA UMISETA MKOANNI RUVUMA WAASWA KUDUMISHA NIDHAMU
WASHIRKI WA UMISETA MKOANNI RUVUMA WAASWA KUDUMISHA NIDHAMU
Vijana wa shule za sekondari wanaoshiriki UMISETA mkoa wa ruvuma wametakiwa kudumisha nidhamu wawapo uwanjani ili waweze kufikia malengo yao. Wito huo umetolewa na afisa elimu mkoa wa ruvuma GHARAMA KINDERU wakati wa kufungua michezo hiyo ili kuweza kupata timu itakayo wakilisha mkoa wa ruvuma katika michuano ya UMISETA inayotarajia kufanyika jijini mwanza mwezi juni mwaka huu
Hivyo makala WASHIRKI WA UMISETA MKOANNI RUVUMA WAASWA KUDUMISHA NIDHAMU
yaani makala yote WASHIRKI WA UMISETA MKOANNI RUVUMA WAASWA KUDUMISHA NIDHAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASHIRKI WA UMISETA MKOANNI RUVUMA WAASWA KUDUMISHA NIDHAMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/washirki-wa-umiseta-mkoanni-ruvuma.html
0 Response to "WASHIRKI WA UMISETA MKOANNI RUVUMA WAASWA KUDUMISHA NIDHAMU"
Post a Comment