Loading...

Filamu : Washiriki wa Shindano la Bongo Style Wapewa Semina Kuhusu Picha , Mitindo na Uandishi wa Filamu

Loading...
Filamu : Washiriki wa Shindano la Bongo Style Wapewa Semina Kuhusu Picha , Mitindo na Uandishi wa Filamu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Filamu : Washiriki wa Shindano la Bongo Style Wapewa Semina Kuhusu Picha , Mitindo na Uandishi wa Filamu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Filamu : Washiriki wa Shindano la Bongo Style Wapewa Semina Kuhusu Picha , Mitindo na Uandishi wa Filamu
link : Filamu : Washiriki wa Shindano la Bongo Style Wapewa Semina Kuhusu Picha , Mitindo na Uandishi wa Filamu

soma pia


Filamu : Washiriki wa Shindano la Bongo Style Wapewa Semina Kuhusu Picha , Mitindo na Uandishi wa Filamu



Joyce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO) akitoa maelezo kwa washiriki wa 'Bongo Style Competition' 2017, kuhusiana na asasi ya FASDO.

Mwezeshaji Erick Chrispin akitoa semina kwa washiriki wa Bongo Style namna ya kujiongoza wenyewe katika maswala ya Fedha,Muda na uongozi.

Baadhi ya washiriki wa shindano la Bongo Style 2017, wakiwemo wapiga picha,waandishi wa miswada ya Filamu na wabunifu wa mitindo upande wa mavazi wakiwa wanafanya zoezi waliopewa na mwezeshaji Bw. Erick Chrispin (ambaye hayupo pichani)


Baadhi ya Washiriki wa Bongo Style Competition 2017 wakiwa wanafanya kazi waliyopewa na mwezeshaji Erick Chrispin (hayupo pichani) baada ya kumaliza semina yake.

Mkufunzi na Mtaalam wa maswala ya Picha Bw. Iddy John akitoa somo juu ya maswala ya picha kwa washiriki wa Shindano la Bongo Style kundi la Picha.

Mbunifu maarufu wa Mitindo ya mavazi Martin Kadinda akitoa somo kwa washiriki kundi la mitindo.

Washiriki wa kundi la Ubunifu wa mitindo upande wa mavazi wakipewa vitendea kazi.

Christina Pande(aliyesimama) ambaye ni Mtunzi na muongozaji wa Filamu, akiwapa darasa vijana ambao wapo katika kundi la Uandishi wa miswada ya Filamu shindano la Bongo Style 2017.
Picha zote na Fredy Njeje.


Hivyo makala Filamu : Washiriki wa Shindano la Bongo Style Wapewa Semina Kuhusu Picha , Mitindo na Uandishi wa Filamu

yaani makala yote Filamu : Washiriki wa Shindano la Bongo Style Wapewa Semina Kuhusu Picha , Mitindo na Uandishi wa Filamu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Filamu : Washiriki wa Shindano la Bongo Style Wapewa Semina Kuhusu Picha , Mitindo na Uandishi wa Filamu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/filamu-washiriki-wa-shindano-la-bongo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Filamu : Washiriki wa Shindano la Bongo Style Wapewa Semina Kuhusu Picha , Mitindo na Uandishi wa Filamu"

Post a Comment

Loading...