Loading...
title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 47 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO JUNE 14, 2017.
link : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 47 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO JUNE 14, 2017.
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 47 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO JUNE 14, 2017.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongoza Kikao cha 47 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge Kyerwa (CCM) Mhe. Innocent Bilakwate akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akijibu swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Mbunge wa Buyungu Mhe.Kasuku Bilago katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akiwasili Bungeni kuhudhulia Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 47 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO JUNE 14, 2017.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 47 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO JUNE 14, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 47 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO JUNE 14, 2017. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_94.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 47 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO JUNE 14, 2017."
Post a Comment