Loading...

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Azindua Michuano ya Kipwida Cup

Loading...
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Azindua Michuano ya Kipwida Cup - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Azindua Michuano ya Kipwida Cup, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Azindua Michuano ya Kipwida Cup
link : Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Azindua Michuano ya Kipwida Cup

soma pia


Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Azindua Michuano ya Kipwida Cup

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Mashindano ya Kipwida CUP yameanza rasmi jioni ya leo katika uwanja wa Lion Kids kwa mchezo kati ya Kisakasaka United na Big Nation uliomalizika kwa Kisakasaka kufungwa mabao 2-1, ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud.

Kisakasaka ndio waliotangulia kupata bao katika dakika ya 12 kupitia kwa Abdillah Ali na kusawazishiwa dakika ya 77 kupitia kwa Ramadhan Yussuf ambae alifunga ena dakika ya 82.

Ligi hiyo inatarajiwa kuendelea tena kesho kwa mchezo mmoja kati ya Basra Boys dhidi ya Mpira Pesa katika Uwanja wa Lion Kids saa 10 za jioni.


Hivyo makala Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Azindua Michuano ya Kipwida Cup

yaani makala yote Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Azindua Michuano ya Kipwida Cup Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Azindua Michuano ya Kipwida Cup mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mkuu-wa-mkoa-wa-mjini-magharibi-unguja_9.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Azindua Michuano ya Kipwida Cup"

Post a Comment

Loading...