Loading...
title : BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA
link : BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA
BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA
Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwa Ripota wetu jijini Mbeya,zinaeleza kuwa Soko la Sido lililopo mkabala na maeneo ya Mwanjelwa linateketea kwa moto hivi sasa,Taarifa zinaeleza kuwa chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.
Kwa mujibu wa Ripota wetu aliyepo eneo la tukio,anaeleza kuwa Moto huo ulianza kuwaka mnamo majira ya saa tatu usiku huu na kusababisha tafrani kubwa kwa baadhi ya watu waliokuwepo maeneo hayo,ambao nao walionesha juhudi zao za kushriki kuuzima,lakini kwa bahati nzuri kikozi cha zima moto kikawa kimeishawasili na kuendelea kupambana na moto huo uliokuwa ukiwaka kwa kasi kubwa mpaka hivi sasa tunapoingia mitamboni.
Kama vile haitoshi katika kuongeza nguvu za kiusalama eneo hilo,Kikosi kutoka jeshi la Polisi la mjini Mbeya tayari nalo liliwasili katika eneo hilo katika suala zima la kuhakikisha ulinzi na usalama wa mali za watu unaimarika .
TAARIFA ZAIDI TUTAWALETEA
Moto huo ukiendelea kuteketeza bidhaa mbalimbali zilizoachwa sokoni hapo usiku huu,huku Kikosi cha zima Moto kikiendelea kupambana na moto huo.
Hivyo makala BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA
yaani makala yote BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/breaking-newzzzzzz-moto-mkubwa.html
0 Response to "BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA"
Post a Comment