Loading...

CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR

Loading...
CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR
link : CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR

soma pia


CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza katika hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017. Hafla hiyo pia iliambatana na uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dkt. Charles Kimei, kuzungumza katika hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.
Mkurugenzi wa Mikakati na Ubunifu wa Benki ya CRDB, Goodluck Nkini akizungumzia mikakati mbalimbali ya Benki hiyo kwa wateja wake, wakati hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.
Mkurugenzi wa Hazina wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru akisisitiza jambo katika hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017. 
Sehemu ya wateja wakubwa wa Benki ya CRDB waliohudhuria hafla hiyo.



Hivyo makala CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR

yaani makala yote CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/crdb-bank-yakutana-na-wateja-wake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...