Loading...
title : PROFESA MBARAWA AWASILISHA MAELEZO YA MUSWADA WA RELI KWA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU
link : PROFESA MBARAWA AWASILISHA MAELEZO YA MUSWADA WA RELI KWA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU
PROFESA MBARAWA AWASILISHA MAELEZO YA MUSWADA WA RELI KWA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Reli wa mwaka 2017 kwa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mheshimiwa Rashid Chuachua.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada waSheria ya Reli wa mwaka 2017 ambao umeshasomwa Bungeni kwa mara ya kwanza.
Hivyo makala PROFESA MBARAWA AWASILISHA MAELEZO YA MUSWADA WA RELI KWA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU
yaani makala yote PROFESA MBARAWA AWASILISHA MAELEZO YA MUSWADA WA RELI KWA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA MBARAWA AWASILISHA MAELEZO YA MUSWADA WA RELI KWA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/profesa-mbarawa-awasilisha-maelezo-ya.html
0 Response to "PROFESA MBARAWA AWASILISHA MAELEZO YA MUSWADA WA RELI KWA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU"
Post a Comment