Loading...

WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA KUFUTWA TOZO NA ADA KUBORESHA KILIMO

Loading...
WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA KUFUTWA TOZO NA ADA KUBORESHA KILIMO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA KUFUTWA TOZO NA ADA KUBORESHA KILIMO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA KUFUTWA TOZO NA ADA KUBORESHA KILIMO
link : WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA KUFUTWA TOZO NA ADA KUBORESHA KILIMO

soma pia


WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA KUFUTWA TOZO NA ADA KUBORESHA KILIMO

Jovina Bujulu-MAELEZO.

Sekta ya kilimo nchini ni kitovu cha maendeleo ya viwanda kwa kutoa masoko na malighafi za viwandani ambapo inaajiri Watanzania wengi takribani zaidi ya asilimia 67.

Katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo, Serikali inaendelea kuimarisha mafanikio yaliyofikiwa katika sekta ya kilimo ikiwemo kuimarisha masoko ya kilimo ili sekta hiyo iendelee kuwa na tija kwa wakulimananchi na taifa kwa ujumla.

Hivi karibuni Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ilitangaza kufuta ada na tozo mbalimbali katika baadhi ya mazao ya biashara ili kumpa unafuu mkulima wakati wa kuuza mazao yake.

Hatua hiyo ni mwanzo mzuri wa kuimarisha sekta hiyo hasa wakati huu ambapo Serikali ya Awamu ya Tano imetangaza nia yake ya kuimarisha uchumi wa kati na viwanda.

Serikali iliamua kufuta na kupunguza ada na tozo imedhamiria kumaliza kero na kilio cha muda mrefu cha wakulima ambao wamekuwa wakilalamikia tozo hizo kwa madai kuwa zinawanyonya.

Aidha, uamuzi huo unategemea kuwapunguzia mzigo mkubwa wa malipo ambao umekuwa ukiwaelemea wakulima hao, hivyo kuwapa unafuu mkubwa na kuwapatia faida.

Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2017/18, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba alizitaja baadhi ya tozo zilizofutwa katika zao la tumbaku kuwa ni mchango wa ushirika wa mkoa, mchango kwa ajili ya gharama za masoko ya ushirika na chama cha msingi cha ushirika, dhamana ya benki kuu ya Tanzania na fomu ya maombi ya leseni za tumbaku.

Ada na tozo nyingine zilizotajwa kuwa ni kodi ya leseni ya kununua tumbaku kavu na mbichi kiwandani, leseni ya kuuza tumbaku nje ya nchi na tozo ya Baraza la Tumbaku.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA.



Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba.


Hivyo makala WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA KUFUTWA TOZO NA ADA KUBORESHA KILIMO

yaani makala yote WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA KUFUTWA TOZO NA ADA KUBORESHA KILIMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA KUFUTWA TOZO NA ADA KUBORESHA KILIMO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/wakulima-watakiwa-kutumia-fursa-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA KUFUTWA TOZO NA ADA KUBORESHA KILIMO"

Post a Comment

Loading...