Loading...

WANAFUNZI WA DARASA LA SABA ZAIDI LAKI 9 KUANZA MITIHANI KESHO

Loading...
WANAFUNZI WA DARASA LA SABA ZAIDI LAKI 9 KUANZA MITIHANI KESHO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAFUNZI WA DARASA LA SABA ZAIDI LAKI 9 KUANZA MITIHANI KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAFUNZI WA DARASA LA SABA ZAIDI LAKI 9 KUANZA MITIHANI KESHO
link : WANAFUNZI WA DARASA LA SABA ZAIDI LAKI 9 KUANZA MITIHANI KESHO

soma pia


WANAFUNZI WA DARASA LA SABA ZAIDI LAKI 9 KUANZA MITIHANI KESHO

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA

Watahiniwa 917,030  kutoka shule za msingi 16,581, za Tanzania Bara wanatarajia kufanya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE 2017)  Septemba 6 hadi 7 , mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene amesema kuwa maandalizi ya uendesheji na usimamizi wa mtihani huo yamekamilika katika ngazi zote ikiwemo kusafirishwa kwa mitihani na wasimamizi kutoka ngazi ya Halmashauri kwenda kwenye vituo vya kufanyia mtihani.

“Jumla ya shilingi , 29,474,964,600 zitatumika kwa ajili ya shughuli za uendeshaji na usimamizi wa mtihani huo kwenye mikoa na Halmashauri” ameongeza George Simbachawene.

Aidha, Waziri Simbachawene amewataka viongozi wa Serikali kushirikiana kwa hali na mali na kuhakikisha zoezi hilo muhimu na nyeti  linafanyika kwa utulivu na ufanisi kwa kuwataka wanajamii wote, wazazi na walezi wawaruhusu wanafunzi kuhudhuria na kufanya mtihani huo kwa amani.

“Ndugu walimu, jiepusheni na udanganyifu au kusaidia kutekeleza udanganyifu. Natoa wito kwenu mkasimamie vema vijana wetu ili waweze kufanya mtihani wao kwa usalama haki na usawa ili tuweze kuwapata vijana watakaojingana kidato cha kwanza wenye sifa zinazostahili na si vinginevyo” amesisitiza Simbachawene.

Waziri Simbachawene amewaagiza viongozi wanaohusika na mtihani huo kuanzia ngazi za mikoa na Halmashauri wahakikishe wanakamilisha kwa wakati upelekaji wa mitihani na vifaa kulingana na mahitaji kwa wakati.


Hivyo makala WANAFUNZI WA DARASA LA SABA ZAIDI LAKI 9 KUANZA MITIHANI KESHO

yaani makala yote WANAFUNZI WA DARASA LA SABA ZAIDI LAKI 9 KUANZA MITIHANI KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI WA DARASA LA SABA ZAIDI LAKI 9 KUANZA MITIHANI KESHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/wanafunzi-wa-darasa-la-saba-zaidi-laki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANAFUNZI WA DARASA LA SABA ZAIDI LAKI 9 KUANZA MITIHANI KESHO"

Post a Comment

Loading...