Loading...
title : WASANII na wanamichezo mbali mbali, wazidi kujiunga Uzalendo Kwanza
link : WASANII na wanamichezo mbali mbali, wazidi kujiunga Uzalendo Kwanza
WASANII na wanamichezo mbali mbali, wazidi kujiunga Uzalendo Kwanza
WASANII na wanamichezo mbali mbali nchini, wameendelea kujiunga na kundi Uzalendo Kwanza lenye nia ya kuurudisha uzalendo wa Mtanzania.
Akizungumza jiji jana, Mwenyekiti wa Kampeni ya Uzalendo Kwanza Steve Nyerere alisema wasanii hao wapya na wanamichezo watatambulishwa rasmi kesho.
"Kipindi cha kampeni za uchaguzi kama taifa tuligawanyika, wapo waliokuwa CCM na wapo waliokuwa Ukawa, ni muda muafaka sasa kuacha tofauti zetu za itikadi na kumuunga mkono muheshimiwa rais." alisema Nyerere
Nyerere alisema kampeni ya 'Uzalendo kwanza' ambayo itafanyika mikoa mbali mbali itaenda sambamba na kutoa misaada kwa jamii.
Kampeni hiyo ilizinduliwa hivi karibuni inalengo la kuhamasisha wananchi, taasisi na mashirika mbali mbali kuunga mkono juhudi za Rais John Pombe Magufuli katika jitihada za kuleta maendeleo, ikiwa ni pamoja na kuwa wazalendo kwa kulinda rasilimali za nchi.
Hivyo makala WASANII na wanamichezo mbali mbali, wazidi kujiunga Uzalendo Kwanza
yaani makala yote WASANII na wanamichezo mbali mbali, wazidi kujiunga Uzalendo Kwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASANII na wanamichezo mbali mbali, wazidi kujiunga Uzalendo Kwanza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/wasanii-na-wanamichezo-mbali-mbali.html
0 Response to "WASANII na wanamichezo mbali mbali, wazidi kujiunga Uzalendo Kwanza"
Post a Comment