Loading...
title : BREAKING NEWZZZZZZ:WATU NANE WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA GARI NDOGO (HIACE) KUTUMBUKIA ZIWA VICTORIA
link : BREAKING NEWZZZZZZ:WATU NANE WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA GARI NDOGO (HIACE) KUTUMBUKIA ZIWA VICTORIA
BREAKING NEWZZZZZZ:WATU NANE WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA GARI NDOGO (HIACE) KUTUMBUKIA ZIWA VICTORIA
Juhudi za kuopoa miili ya watu waliokuwemo kwenye gari hiyo ikiendelea.
Baadhi ya Wananchi mbalimbali wakilishuhudia tukio hilo la kuzama kwa gari ndogo ya abiria (HIACE),ambalo namba zake za usajili hazikuweza kutambulika mara moja,mara baada ya kuopolewa ziwani.
Wananchi kutoka maeneo mbali mbali wakilifuatilia tukio hilo mapema leo Kigongo Feri jijini Mwanza
Globu ya Jamii imepokea picha na maelezo kadhaa kutoka kwa mdau aliyeko jijini Mwanza,zikionesha na kueleza kutokea kwa ajali jijini humo mapema leo,amesema kuwa ajali hiyo ni ya gari ndogo ya abiria Hiace ikiwa na ibiria imepitiliza na kutumbukia ziwa Victoria katika kivuko cha kigongo feri -Busisi,na kupelekea vifo vya watu 8 na wawili tu ndio wameopolewa mpaka sasa huku juhudi za kuopoa miili migine bado ikindelea.
Tutaendelea kujuzana hapa hapa jamvini kwa kadiri taarifa zitakavyokuwa zikipatikana,ikiwemo na taarifa rasmi kutoka Jeshi la Polisi la Jijini Mwanza.Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi -Amen
Hivyo makala BREAKING NEWZZZZZZ:WATU NANE WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA GARI NDOGO (HIACE) KUTUMBUKIA ZIWA VICTORIA
yaani makala yote BREAKING NEWZZZZZZ:WATU NANE WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA GARI NDOGO (HIACE) KUTUMBUKIA ZIWA VICTORIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZZZ:WATU NANE WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA GARI NDOGO (HIACE) KUTUMBUKIA ZIWA VICTORIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/breaking-newzzzzzzwatu-nane-wahofiwa.html
0 Response to "BREAKING NEWZZZZZZ:WATU NANE WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA GARI NDOGO (HIACE) KUTUMBUKIA ZIWA VICTORIA"
Post a Comment