Loading...

SERIKALI YATENGA BILIONI TATU UJENZI WA BARABARA YA MUHEZA-AMANNI MKOAN TANGA

Loading...
SERIKALI YATENGA BILIONI TATU UJENZI WA BARABARA YA MUHEZA-AMANNI MKOAN TANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YATENGA BILIONI TATU UJENZI WA BARABARA YA MUHEZA-AMANNI MKOAN TANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YATENGA BILIONI TATU UJENZI WA BARABARA YA MUHEZA-AMANNI MKOAN TANGA
link : SERIKALI YATENGA BILIONI TATU UJENZI WA BARABARA YA MUHEZA-AMANNI MKOAN TANGA

soma pia


SERIKALI YATENGA BILIONI TATU UJENZI WA BARABARA YA MUHEZA-AMANNI MKOAN TANGA

Na Mwandishi Wetu, Tanga

SERIKALI imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 3 kwa ajili ya kujenga barabara yenye urefu wa kilomita 39 kutoka mjini Muheza hadi Amani wilayani humo, kwa kiwango cha lami. 

Akizungumza na gazeti hili ofisini kwake jana Meneja wa Wakala wa Barabara Mkoani Tanga, Mhandisi Alfred Ndumbalo alisema fedha hizo zimetengwa kama utekelezaji wa ahadi ya Rais John Magufuli aliyoitoa mwaka jana kwamba barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha lami. 

Ndumbalo alisema nia ya serikali ni kuijenga barabara hiyo kwa kiwango cha lami na fedha zilizotengwa zinatokana na bajeti ya Mwaka huu."Tayari serikali imetenga fedha hizo na wiki iliyopita Naibu Waziri wa Ujenzi (Elias Kuandika) tulimpeleka Muheza na pia amewahakikishia wananchi kwamba barabara hiyo tayari imetengewa fedha hizo," alisema Ndumbalo. 

Meneja huyo alisema kuwa wanachosubiri kwa sasa ni kupewa maagizo na wizara kuhusu ama kutangaza zabuni ili ujenzi uanze au vinginevyo kwa kuwa tayari wamemaliza kazi ya upembuzi yakinifu pamoja na usanifu wa barabara hiyo tangu mwaka jana. 

Ndumbalo alisema kwamba mkoa wa Tanga una kilomita zipatazo 327 za barabara kuu na kilomita 171 za barabara za vijijini zilizojengwa kwa kiwango cha lami, hivyo kujengwa kwa barabara hiyo ni ukombozi mkubwa Kwa wananchi hasa wanaoishi tarafa ya Amani ambayo jiografia yake ni ya milima.

Barabara hiyo ambayo ilikuwa haipitiki kwa uraisi Mwaka 2011 Rais Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi aliipatia fedha ambazo zilitumika kujenga zege Kwenye maeneo yenye kona kali na hatarishi, kiasi ilipunguza adha ya magari kukwama na sasa ikijengwa lami itasaidia wananchi wa tarafa hiyo ambao ni wakulima wa viungo vya chai na Chakula na wauzaji wakubwa wa vipepeo nje.

Meneja wa Wakala wa barabara mkoa wa Tanga, Mhandisi Alfred Ndumbalo


Hivyo makala SERIKALI YATENGA BILIONI TATU UJENZI WA BARABARA YA MUHEZA-AMANNI MKOAN TANGA

yaani makala yote SERIKALI YATENGA BILIONI TATU UJENZI WA BARABARA YA MUHEZA-AMANNI MKOAN TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YATENGA BILIONI TATU UJENZI WA BARABARA YA MUHEZA-AMANNI MKOAN TANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/serikali-yatenga-bilioni-tatu-ujenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YATENGA BILIONI TATU UJENZI WA BARABARA YA MUHEZA-AMANNI MKOAN TANGA"

Post a Comment

Loading...