Loading...

Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba

Loading...
Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba
link : Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba

soma pia


Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba

 Vibaruwa wakiwa tayari kuelekea katika zoezi la uchumaji wa karafuu ili kwenda sambamba na agizo la Serikali la kuliokowa zao hilo , kama walivyokutwa na mpiga picha wetu huko katika Kambi yao Mtambwe.
Baadhi ya watoto ambao wanajihusisha na Uokotaji wa karafuu za Mpeta na kuacha kutumia haki yao ya msingi ya kupata Elimu , kama walivyokutwa na mpigapicha wetu huko katika Shamba la Makuwe Wete Pemba.


 Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba, Abeid Juma Ali, akitowa maelezo ya Uchumaji wa karafuu kwa kambi ya bwana Salim Jadi Kadika, iliopo eneo la Mtambwe Pemba, kwa Mwaziri wasikuwa na Wizara maalumu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Said Soud Said, na Juma Ali Khatib, wakati walipokuwa na ziara ya kuangalia maendeleo ya uchumaji wa zao hilo Kisiwani Pemba.

PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.


Hivyo makala Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba

yaani makala yote Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/zoezi-la-uchumaji-karafuu-likiendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba"

Post a Comment

Loading...