Loading...
title : DK.MAHENGE: HALMASHAURI ZIHAKIKISHE ASILIMIA 10 YA FEDHA ZA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU ZINATUMIKA KUTEKELEZA MKAKATI WA SERIKALI YA VIWANDA.
link : DK.MAHENGE: HALMASHAURI ZIHAKIKISHE ASILIMIA 10 YA FEDHA ZA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU ZINATUMIKA KUTEKELEZA MKAKATI WA SERIKALI YA VIWANDA.
DK.MAHENGE: HALMASHAURI ZIHAKIKISHE ASILIMIA 10 YA FEDHA ZA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU ZINATUMIKA KUTEKELEZA MKAKATI WA SERIKALI YA VIWANDA.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge amezitaka Halmashauri za Wilaya, Mji na Manispaa Mkoani Dodoma kuhakikisha zinatenga asilimia kumi (10%) ya makusanyo yao ya ndani kwa ajili ya vijana, wanawake na Walemavu kuanzisha miradi ya viwanda vidogo na vya kati.
Lengo ni kuitikia kampeni ya Serikali inayoitaka Mikoa kuanzisha viwanda kama ilivyozinduliwa hivi karibuni na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa Seleman Jafo.
Akizungumzia hilo, ameonya tabia ya baadhi ya Halmashauri kutotoa asilimia kumi (10%) ya makusanyo yake ya ndani au kutoa kiasi kidogo kwa ajili ya vijana, wanawake na walemavu na kuwa utaratibu unaotumika sasa wa Halmashauri kukopesha fedha hizo wakati mwingine sio muafaka sana badala yake Halmashauri zitumie fedha hizo kuwafungulia vijana, wanawake na walemavu viwanda vidogovidogo na kuwakabidhi waendeleze uzalishaji na kuviendesha.
Hivyo makala DK.MAHENGE: HALMASHAURI ZIHAKIKISHE ASILIMIA 10 YA FEDHA ZA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU ZINATUMIKA KUTEKELEZA MKAKATI WA SERIKALI YA VIWANDA.
yaani makala yote DK.MAHENGE: HALMASHAURI ZIHAKIKISHE ASILIMIA 10 YA FEDHA ZA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU ZINATUMIKA KUTEKELEZA MKAKATI WA SERIKALI YA VIWANDA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.MAHENGE: HALMASHAURI ZIHAKIKISHE ASILIMIA 10 YA FEDHA ZA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU ZINATUMIKA KUTEKELEZA MKAKATI WA SERIKALI YA VIWANDA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dkmahenge-halmashauri-zihakikishe.html
0 Response to "DK.MAHENGE: HALMASHAURI ZIHAKIKISHE ASILIMIA 10 YA FEDHA ZA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU ZINATUMIKA KUTEKELEZA MKAKATI WA SERIKALI YA VIWANDA."
Post a Comment