Loading...
title : DR SLAA AULA ,JPM AMTEUWA KUWA BALOZI
link : DR SLAA AULA ,JPM AMTEUWA KUWA BALOZI
DR SLAA AULA ,JPM AMTEUWA KUWA BALOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amteua Dkt. Wilbrod Peter Slaa kuwa Balozi.
Uteuzi wa Dkt Wilbroad Slaa umefanyika leo Novemba 23 ambapo anategemea kuapishwa baada ya utaratibu kukamilika.
Dkt Slaa aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na mwaka 2015 karibu na kipindi cha uchaguzi alitangaza kuachana na siasa.
Hivyo makala DR SLAA AULA ,JPM AMTEUWA KUWA BALOZI
yaani makala yote DR SLAA AULA ,JPM AMTEUWA KUWA BALOZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DR SLAA AULA ,JPM AMTEUWA KUWA BALOZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dr-slaa-aula-jpm-amteuwa-kuwa-balozi.html
0 Response to "DR SLAA AULA ,JPM AMTEUWA KUWA BALOZI"
Post a Comment