Loading...

KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA

Loading...
KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA
link : KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA

soma pia


KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola akiteta jambo na Katibu Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bi. Maimuna Tarishi mara baada ya kuwasili katika ofisi yake Mjini Dodoma.
 Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Issa Nchansi akizungumza jambo wakati wa kikao cha Wakuu wa Idara na Vitengo Ofisi hiyo walipokutana kumkaribisha Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola katika ofisi yake Mjini Dodoma Novemba 9, 2017.
 Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Packshard Mkongwa akitoa neno la shukrani kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola mara baada ya kumpokea rasmi katika Ofisi hiyo Novemba 9, 2017 Mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Issa Nchansi akiwatambulisha Wasaidizi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola mara baada ya kuwasili katika ofisi yake Mjini Dodoma.(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA).

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA

yaani makala yote KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/katibu-mkuu-mpya-ofisi-ya-waziri-mkuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA"

Post a Comment

Loading...