Loading...

ZANTEL YATOA MSAADA WA MIAMVULI 60 KWA CHUO CHA USTAWI WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
ZANTEL YATOA MSAADA WA MIAMVULI 60 KWA CHUO CHA USTAWI WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZANTEL YATOA MSAADA WA MIAMVULI 60 KWA CHUO CHA USTAWI WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZANTEL YATOA MSAADA WA MIAMVULI 60 KWA CHUO CHA USTAWI WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM
link : ZANTEL YATOA MSAADA WA MIAMVULI 60 KWA CHUO CHA USTAWI WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


ZANTEL YATOA MSAADA WA MIAMVULI 60 KWA CHUO CHA USTAWI WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM


Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Jensen Msechu (kushoto) akisimika moja ya miamvuli iliyotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel kwa Chuo cha Ustawi wa Jamii hivi karibuni jijini Dar es salaam.Jumla ya Miamvuli 60 ilitolewa kwa chuo hicho kwa lengo la kuwakinga jua wanafunzi wakati wa kujisomea wawapo chuoni hapo. Katikati ni Afisa Rasilimali watu Mwandamizi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Remidius Leonard na kulia ni Rais wa Wanafunzi, John Filimon.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kilichopo eneo la Bamaga jijini Dar es salaam wakijisomea kwenye moja ya kizimba kilichosimikwa moja ya miamvuli iliyotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel hivi karibuni jijini Dar es salaam. Jumla ya miamvuli 60 ilitolewa kwa ajili ya kuwakinga jua Wanafunzi wa chuo hicho wakati wa kujisomea wawapo chuoni hapo.


Hivyo makala ZANTEL YATOA MSAADA WA MIAMVULI 60 KWA CHUO CHA USTAWI WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote ZANTEL YATOA MSAADA WA MIAMVULI 60 KWA CHUO CHA USTAWI WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZANTEL YATOA MSAADA WA MIAMVULI 60 KWA CHUO CHA USTAWI WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/zantel-yatoa-msaada-wa-miamvuli-60-kwa_2.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZANTEL YATOA MSAADA WA MIAMVULI 60 KWA CHUO CHA USTAWI WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...