Loading...
title : DIWANI MTARAWANJE AAPA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KIJICHI
link : DIWANI MTARAWANJE AAPA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KIJICHI
DIWANI MTARAWANJE AAPA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KIJICHI
Na Chalila Kibuda, Globu ya jamii
DIWANI wa Kijichi, Eliasa Mtarawanje amesema kuwa kazi kubwa ni kuwatumikia wananchi wa kijichi bila kujali itikadi za vyama.
Mtarawanje ameyasema hayo mara baada ya kuapishwa udiwani wake katika Baraza la Madiwani la Manispaa ya Temeke, amesema uchaguzi umeisha Novemba 26 kilichobaki ni kufanya kazi ya kuwahudumia wananchi wa kijiji.
Mtarawanje amesema kuwa Kijichi kuna miradi ya mingi kilichobaki ni kusimamia ili kuweza wananchi kupata huduma bora zinazotokana na miradi hiyo.
“Mimi kama kiongozi nimeamua kuwatumikia wananchi wangu wa kijichi hivyo nilazima nitumike katika kuwasaidia wananchi wenzangu kwa kuniamini kutoa kura zao na kuweza kupata ushindi” amesema Mtarawanje.
Amesema katika kipindi hiki cha serikali ya awamu ya tano ni kufanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia wananchi na si vinginevyo .
Diwani wa Kijichi, Eliasa Mtarawanje akilakiapo cha udiwani katika baraza la madiwani la Manispaa ya Teemeke leo jijini Dar es Salaam.
Diwani wa Kijichi, Eliasa Mtarawanje akizungumza katika baraza hilo mara baada ya kuapishwa leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Alimishi Hazali akizungumza juu ya ushindi wa diwani Diwani wa Kijichi, Eliasa Mtarawanje katika baraza la madiwani la Manispaa ya Teemeke leo jijini Dar es Salaam.
Diwani wa Kijichi, Eliasa Mtarawanje akiwa katika picha ya pamoja na madiwani wenzake mara baada ya kuapishwa leo jijini Dar es Salaam .
Diwani wa Kijichi, Eliasa Mtarawanje akiwa katika picha ya pamoja na vongozi wa CCM mara baada ya kuapishwa leo jijini Dar es Salaam .
Hivyo makala DIWANI MTARAWANJE AAPA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KIJICHI
yaani makala yote DIWANI MTARAWANJE AAPA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KIJICHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DIWANI MTARAWANJE AAPA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KIJICHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/diwani-mtarawanje-aapa-kuwatumikia.html
0 Response to "DIWANI MTARAWANJE AAPA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KIJICHI"
Post a Comment