Loading...

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI.

Loading...
KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI.
link : KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI.

soma pia


KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI.

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.

Mfanyabiashara James Rugemarila anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amedai mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa unahitajika ushirikiano baina yake na upande wa mashtaka ili kumbaini mwizi wa Bil 309 za serikali wanazodaiwa kuiba.

Katika kesi hiyo, Rugemarila, anashtakiwa pamoja na mmiliki wa IPTL, Harbinder Singh Sethi ambapo wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 12 ya uhujumu uchumi likiwemo la utakatisha fedha na kuisababisha serikali hasara ya USD 22, 198,544.60 na Bil 309.

Rugemarila amedai hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya Mwendesha Mashtaka kutoka Takukuru, Leornad Swai kuieleza mahakama kuwa kesi leo imekuja kwa kutajwa na upelelezi bado haujakamilika.

Rugemarila alidai upelelezi wa tuhuma zao ulianza tangu 2014 na sio miezi sita iliyopita kama alivyoeleza.Amedai kuwa anahitaji apate ushirikiano kutoka kwa upande wa Jamhuri ili wamjue na kumtaja ni nani mwizi wa Bil.309 za serikali.Aidha amedai kuwa hajawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mawakili wake tangu alipotoka mahakamani hapo tarehe iliyopita.

"Nashindwa kupata ushauri, wala sijui nini kinaendelea kuhusu kesi yangu, hivyo angalau naomba waruhusiwe mawakili angalau wawili badala ya 10 ili wawe wananielezea kuhusu ilipofikia hii kesi,".Awali kabla ya kutoa hoja hizo, Wakili wa utetezi Balomi alidai kuwa suala la upelelezi katika kesi hiyo linachelewesha, huku ikizingatiwa linakiuka misingi ya haki ya kikatiba kwa washtakiwa.

" Ni miezi 6 sasa, tunaambiwa upelelezi haujakamilika, Wakili wa serikali anashindwa hata kutuambia umefikia wapi na umebaki muda gani kukamilika,".Pia Wakili Balomi amedai kuwa hali ya washtakiwa kiafya sio nzuri hasa Seth, hivyo upelelezi ukamilishwe kwa haraka ama wawe wanaelezwa hatua ulipofikia.Akijibu hoja hizo Wakili Swai alidai kuwa, upande wa utetezi ndio umekuwa ukikwamisha mchakato wa upelelezi kwani wamekuwa wakinyimwa baadhi ya nyaraka.

Swai aliongeza kudai, kuchelewa kwa upelelezi huo pia kunasababishwa na ushahidi mwingine kuwepo nje ya nchi.Kesi hiyo imeahirishwa hadi December 22, 2017 upande wa mashtaka umetakiwa kukamilisha upelelezi.


Hivyo makala KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI.

yaani makala yote KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/kesi-ya-utakatishaji-fedha-rugemalila.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA UPANDE MASHITAKA KUMBAINI MWIZI WA BILIONI 309 ZA SERIKALI."

Post a Comment

Loading...