Loading...

Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba.

Loading...
Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba.
link : Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba.

soma pia


Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba.

FISA Mdhamini Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Mata, akizungumza na masheha juu ya uwepo wa kamati za maafa za shehia, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Tasafa Mjini Chake Chake
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadidi Rashid, akizungumza na masheha wa Wilaya hiyo, wakati walipokuwa akikabidhiwa majukumu yao katika kukabiliana na maafa kwenye shehi 
 MRATIB wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Kisiwani Pemba, Khamis Arazak Khamis, akiwagawia mashesha muongoozo wa kamati za maafa za shehia.
 BAADHI ya masheha wa Wilaya ya Chake Chake wakifuaqtilia kwa makaini muongoza wa kamati za shehia za kukabiliana na maafa katika shehia zao.
SHEHA wa shehia ya Ndagoli Massoud,  akichangia katika kikao cha masheha na watendaji wa Kamisheni ya kukabliana na maafa Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)


Hivyo makala Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba.

yaani makala yote Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mkutano-wa-masheha-kisiwani-pemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano wa Masheha Kisiwani Pemba."

Post a Comment

Loading...