Loading...

RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA MADUKA YA MLIMANI CITY.

Loading...
RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA MADUKA YA MLIMANI CITY. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA MADUKA YA MLIMANI CITY., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA MADUKA YA MLIMANI CITY.
link : RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA MADUKA YA MLIMANI CITY.

soma pia


RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA MADUKA YA MLIMANI CITY.


Maelfu ya Wanafunzi waliojitokeza katika hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa Vyuo vikuu Mwaka wa Kwanza DAR FRESHERS PARTY 2017,iliyofanyika jana nje ya Mlimani City katika viunga vya kupaki Magari huku usiku huo ukipambwa na Wasanii mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. PAUL MAKONDA ametangaza Punguzo la Bei (Discount) la 70% kwa Bidhaa zote zinazopatikana Ndani ya Maduka Mlimani City kwa muda wa Wiki moja kuanzia Leo.

Punguzo hilo la bei ni kwa Wananchi Wote ikiwa ni zawadi ya RC MAKONDA Kuelekea Sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya ili kuwapunguzia Wananchi makali ya gharama.

RC MAKONDA amesema hayo kwenye Hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa Vyuo vikuu Mwaka wa Kwanza DAR FRESHERS PARTY 2017,iliyofanyika jana nje ya Mlimani City katika viunga vya kupaki Magari ambapo amesema tamasha hilo litakuwa likifanyika kila Mwaka kwa kushirikisha Wasanii wakubwa kutoka Ndani na Nje ya Nchi.

Ameshukuru Vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo TBC, E. FM na E TV pamoja na Channel Ten kwa kufanikisha Tamasha hilo.

Aidha amewashukuru wasanii mbalimbali wakiwemo WCB, AY, FID Q,  RUBY, KASSIM MGANGA, MWANA FA,  RAY C, LADY JAYDEE, MSAMI, CHRISTIAN BELLA, DULY SYKES na MRISHO MPOTO kwa kujitolea kutoa Burudani bila Malipo.

Amesema Lengo la Tamasha hilo ni kujenga umoja kwa kuwakutanisha wanafunzi wa Vyuo mbalimbali kubadilishana mawazo  na kupatiwa maarifa.
Mmoja wa wasanii kutoka kundi la Mrisho Mpoto akitumbuiza jukwaani kwa madaha,huku pichani kulia Mkali wa kughani Mashari Mrisho Mpoti akichagiza na umahiri wake wa Mashairi.
Baadhi ya Askari wakiwa katikati ya kundi kubwa la Wanafunsi wa Vyuo,wakihakikishiwa ulinzi wao huku wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri jukwani kwa usiku ule
Mmoja wa Wasanii kutoka kundi la WCB akitumbuiza jukwaani.
Ilikuwa ni shangwe,vifijo na nderemo tuu
Mwanadada machachari katika anga ya muziki wa bongofleva kutoka kundi la WCB,Queen Darleen akiimbo wimbo wake aliouachia hivi karibuni ujulikanao kwa jina la 'ntakufilisi'.
Msanii mwingine mahiri kabisa kutoka kundi la WCB,Ray Vann aka Vanny Boy akiwakuna vilivyo maelfu ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali,kwenye pati yao ya ukaribisho iliyofanyika usiku wa kuamkia leo nje ya Mlimani City,jijini Dar Es Salam
Mkali mwingine wa kucheza na sauti Cassim Mganga akitumbuiza
Mzee wa Masauti Christian Bella akiwaimbisha wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali kwenye siku yao maalum ya kukaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Mh Paul Makonda
Msanii mkongwe katika anga ya bongofleva Rehema Chalamila a.k.a Ray C akitumbuiza jukwaani
Burudani murua kabisa kutoka kwa wasanii mbalimbali ilitolewa


Hivyo makala RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA MADUKA YA MLIMANI CITY.

yaani makala yote RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA MADUKA YA MLIMANI CITY. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA MADUKA YA MLIMANI CITY. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/rc-makonda-atangaza-discount-ya-20-hadi_3.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA MADUKA YA MLIMANI CITY."

Post a Comment

Loading...